Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Ulikuwa umepotea sana mkuu, karibu kundini (Martial)
utaniwekea shem nasubiri huo muda au karne ifike.Wewe hautaki auto reply! !
Usingewashtua... si unajua kuna michuchu inajua mi ni mod?? Ningetumia advantage kuongeza wanachama... dah!Swahiba dunia imekuwa kijiji... [emoji16][emoji16]
Ha haaaaa ila ni mzuri. Mutuma ni boonge la HB.[emoji4][emoji4][emoji4]Huwezi amini Nilimpenda yule mtoto aliyeigiza kama raven hadi nikawa namuota. Sasa ulivyomtaja mutum wa sugar nikamkumbuka huyo raven
Bado hatujachelewa... nitaanzisha namna nyingine tu..Usingewashtua... si unajua kuna michuchu inajua mi ni mod?? Ningetumia advantage kuongeza wanachama... dah!
Muone ushankata stim sentence yako ya mwisho[emoji51]Yaani kama kwenye mitandao kama airtel hata kama haupo hewani
Mtu akikupigia unaambiwa mtumiaji wa simu unayempigia hapatikani kwasasa. That's auto-sound.
Kwahiyo hiyo ukiwekewa hata kama haupo online account yenyewe itaanzisha thread.. itajibu pm n.k
Angalizo: hii bado haijagunduliwa labda karne inayokuja.
Yeah sure... tatizo miguu yake tu ina matege ya nyumaHa haaaaa ila ni mzuri. Mutuma ni boonge la HB.[emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu set auto-reply hata kama simu imezima ukiqoutiwa inajireply. Dunia imehama.
NB: wengine usituone tunashinda humu tumeajiriwa humu humu..wake wetu wamo humuhumu.
Hahahaha ngoja akuonesio mbele ya Panadolπ‘π‘π‘π‘
Hahahaha ngoja akuonesio mbele ya Panadolπ‘π‘π‘π‘
Kuwa online muda wote ni juhudi zako bhana Vale hiyo teknolojia haipo kwasasa.Muone ushankata stim sentence yako ya mwisho[emoji51]
Mi bado nakupenda...sio mbele ya Panadolπ‘π‘π‘π‘
Unaona unavyozidi kuharibu??Kuwa online muda wote ni juhudi zako bhana Vale hiyo teknolojia haipo kwasasa.
Swahiba huyu shemeji yetu....Mi bado nakupenda...
[emoji16][emoji16]Unaona unavyozidi kuharibu??
nimependa ulivyosema. Nakupenda pia na hilo halipingikiMi bado nakupenda...
hahahahahahahahahahahSwahiba huyu shemeji yetu....
Tusile hadi mayai tutalaaniwa bure.