Shunie wew kwa online aseeh ni nooma.. kuna mtu anaitwa Rutashubanyuma huyu jamaa sijui kama siyo robotmfyuuu ningekuepo angeshaniweka kwa list eb niache mm
Ha haaaaaa mi nampenda hivyo hivyo... Ana body matata[emoji4][emoji4]Yeah sure... tatizo miguu yake tu ina matege ya nyuma
bas mm na ww hatuna tofautiShunie wew kwa online aseeh ni nooma.. kuna mtu anaitwa Rutashubanyuma huyu jamaa sijui kama siyo robot
Hivi kulikoni kuadimika[emoji6][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
na akuache kweli kabisaaaamfyuuu ningekuepo angeshaniweka kwa list eb niache mm
Mimi sio kivile nina miezi yangu... wewe sio January sio Decemberbas mm na ww hatuna tofauti
KhaaaMimi sio kivile nina miezi yangu... wewe sio January sio December
ahhahahahna akuache kweli kabisaaaa
Shemeji kwa pande zipi??Swahiba huyu shemeji yetu....
Tusile hadi mayai tutalaaniwa bure.
kwaresma inaisha tutaonana kwenye jukwaa letu shooHivi kulikoni kuadimika[emoji6][emoji6]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaona unavyozidi kuharibu??
Kuna watu walikuwa hawajui... bora wameona wenyewe.nimependa ulivyosema. Nakupenda pia na hilo halipingiki
Yeah.. jamaa ni HB body lipo tabasamu he's gentle. Wakenya kwa rangi zao na lips I salute them.Ha haaaaaa mi nampenda hivyo hivyo... Ana body matata[emoji4][emoji4]
Hahahha yupo kule michezoni ni fans wa Man UShunie wew kwa online aseeh ni nooma.. kuna mtu anaitwa Rutashubanyuma huyu jamaa sijui kama siyo robot
hahahahahahahahha,Kuna watu walikuwa hawajui... bora wameona wenyewe.
Watuachie wenye meno tutafune, wao waendelee kukaanga mbuyu.
Rutashubanyuma huyu jamaa nahisi ni robot aseeh . Jf kajiunga 2010 lakini anaposts zaidi ya elfu65 anafukuziana na watu wa 2006Hahahha yupo kile michezoni ni fans wa Man U
Duu ina quote kitu gani ? Yaani unataka kuniambia hiyo Auto reply ina uwezo wa kujibu comment ya mdau mfano kauliza wewe ni ke yenyewe inajibu hapana ni bibi yako ?Mkuu set auto-reply hata kama simu imezima ukiqoutiwa inajireply. Dunia imehama.
NB: wengine usituone tunashinda humu tumeajiriwa humu humu..wake wetu wamo humuhumu.
Duu ina quote kitu gani ? Yaani unataka kuniambia hiyo Auto reply ina uwezo wa kujibu comment ya mdau mfano kauliza wewe ni ke yenyewe inajibu hapana ni bibi yako ?
Arifu nigongee mia nina arosto ya ugoro
Nyiura mkunde!!hahahahahahahahha,