Ada na gharama za kumsomesha mtoto English medium kwa miaka 4 ni milioni 10. Atachoambulia huko unakipata kwa Ras Simba kwa mwezi mmoja tu kwa laki 2

Ada na gharama za kumsomesha mtoto English medium kwa miaka 4 ni milioni 10. Atachoambulia huko unakipata kwa Ras Simba kwa mwezi mmoja tu kwa laki 2

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Ada tuweke 1.5 m

Uniforms, usafiri na vikorokoro vingine tuweke 1ml . Jumla milioni 2.5, mara 4 ni milioni 10. Hiyo ni minimum.

Hapo hatujagusa hizi International schools ambapo kwa miaka 4 hamna hamna milioni 20 inakwenda.

Form one mpaka form four nimesoma shule ambayo kulikuwa na wanafunzi wachache waliosoma English medium schools, walichotupita ni debate tu hasa ile debate ya awali kabisa.

Wale watoto hata kumi bora ilikuwa huwezi kuwakuta. Baadaye level of English fluency tukawa sawa.

Nimeenda advance nimekutana na wanafunzi ambao primary na secondary wamesoma kwenye shule za private, hawakuwa na maajabu.

Chuo nako vilevile, hajulikani aliyesoma royal schools wala hizi mushroom schools.

Kwa ambao wamemaliza sekondari au chuo kikuu na hawajui kuongea Kiingereza vizuri Ras Simba anaweza kuwanoa kwa gharama ndogo sana chini ya laki 5 kwa muda mfupi tu.

Hata mwezi mmoja unatosha kabisa.

Sasa tuseme nini ?

English medium schools ni kwaajili ya watoto vilaza au ni kwa ajili ya wazazi wasio na uelewa?”
 
Somesha mtoto shule unayo mudu kulipa gharama kama mnasomesha kwa kuangalia status zenu zita wakost peleka kayumba kule pia kuna watoto wanasoma na wanafanya vzr pia huko private watoto ndio wanakuwa na tabia mbovu zaidi unakuta mtoto wa form one ila mambo anayo ongea mpaka mzazi unajiuliza kayotoa wapi
 
Ada tuweke 1.5 m
Uniforms, usafiri na vikorokoro vingine tuweke 1ml . Jumla milioni 2.5, mara 4 ni milioni 10. Hiyo ni minimum. Hapo hatujagusa hizi International schools ambapo kwa miaka 4 hamna hamna milioni 20 inakwenda.

Form one mpaka form four nimesoma shule ambayo kulikuwa na wanafunzi wachache waliosoma English medium schools, walichotupita ni debate tu hasa ile debate ya awali kabisa. Wale watoto hata kumi bora ilikuwa huwezi kuwakuta. Baadaye level of English fluent tukawa sawa.
Nimeenda advance nimekutana na wanafunzi ambao primary na secondary wamesoma kwenye shule za private , hawakuwa na maajabu.

Chuo nako vilevile, hajulikani aliyesoma royal schools wala hizi mushroom schools.
Kwa ambao wamemaliza sekondari au chuo kikuu na hawajui kuongea Kiingereza vizuri Ras Simba anaweza kuwanoa kwa gharama ndogo sana chini ya laki 5 kwa muda mfupi tu. Hata mwezi mmoja unatosha kabisa.
Wapi
 
Gharama za kumiliki gari kwa mwezi ni laki 3 za mafuta, wakati unaweza kupanda daladala kwenda na kurudi kila siku buku mbili jero na kwa mwezi 30,000 tu. Mawazo yako hayajatofautiana sana na haya.
 
Somesha mtoto shule unayo mudu kulipa gharama kama mnasomesha kwa kuangalia status zenu zita wakost peleka kayumba kule pia kuna watoto wanasoma na wanafanya vzr pia huko private watoto ndio wanakuwa na tabia mbovu zaidi unakuta mtoto wa form one ila mambo anayo ongea mpaka mzazi unajiuliza kayotoa wapi
Kwa hiyo Manzese na Mzimuni sec ni bora kuliko Feza na St Francis?
 
Mtoto kama unaweza msomesha shule nzuri msomeshe. Nimesema shule nzuri siyo shule ya gharama. Hata kama ni ya serikali ila nzuri, tumia gharama kuhakikisha anasoma hapo.

NB: Shule za kisasa si za kukariri miguu ya panzi kama kipindi chetu. Wazazi tufahamu mahitaji ya kisasa, Halafu shule siyo kujua kingereza tu. Kingereza ni lugha.
 
Kwa hiyo Manzese na Mzimuni sec ni bora kuliko Feza na St Francis?
Hapana ila huko serikali hakuna watoto wanao toka na one?

Ni akili ya mtoto na kujitambua na usimamiz mzuri wa mzazi wengi mkipeleka watoto private mna sahahu kila kitu
 
Mtoto kama unaweza msomesha shule nzuri msomeshe. Nimesema shule nzuri siyo shule ya gharama. Hata kama ni ya serikali ila nzuri, tumia gharama kuhakikisha anasoma hapo.

NB: Shule za kisasa si za kukariri miguu ya panzi kama kipindi chetu. Wazazi tufahamu mahitaji ya kisasa.
Usiwapabgie watu matumizi ya pesa zao huwasaidii kuzitafuta
Wewe wako somesha kayumba wengine wasoneshe huko kwingine

Pesa sio zako za kwao koma wewe na domo lako hilo
 
Usiwapabgie watu matumizi ya pesa zao huwasaidii kuzitafuta
Wewe wako somesha kayumba wengine wasoneshe huko kwingine

Pesa sio zako za kwao koma wewe na domo lako hilo
Jiridhishe kwanza tafsiri ya hoja kabla ya kujibu hoja kwa kuhemuka.
Nikikuuliza wapi nimesema watu wasomeshe watoto Kayumba na si kwengine hutokuwa na jibu.
 
Kwanini kuna simu za button na bado unatumia smartphone?

Ukishaweza kujibu hilo swali utaelewa kwanini watu wanapeleka watoto wao private.

We unadhani hao wazazi hawafahamu kwamba Ras Simba anafundisha Kiingereza kwa laki mbili?

Kama unadhani wazazi wanapeleka watoto wao shule za private ili wajue kiingereza pekee, ni wazi kuwa una safari ndefu sana kwenye maisha yako.
 
Mkali kama hauna hela somesha mtoto wako shule ya kata tuachie sie wanetu wasome shule za hela yaani ipo hivi elimu ya kusini mwa jangwa la Sahara kama hauna hela somesha mwanao shule ya serikali maana si wamewaambia ni bure mkali
 
Mawazo ya masikini Huwa yanachekesha sana.madhara ya kushindilia ugali Kila siku ndiyo haya Sasa.
 
Back
Top Bottom