Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
Zilipokuwepo ada waliboresha mazingira ya elimu? Walimu walikuwa wanashinda vilabuni wanakunywa wanzuki tu,issue ni supervision ngazi zoteWarudishe ada waboreshe mazingira ya elimu, waboreshe maslahi ya walimu na kuajiri walimu wa kutosha...
Sio hiyo kazi ifanywe kwenye pesa za tozo baada ya ujenzi wa madarasa kukamilika.Warudishe ada waboreshe mazingira ya elimu, waboreshe maslahi ya walimu na kuajiri walimu wa kutosha...
Madarasa yanajengwa kwa fedha za COVDSio hiyo kazi ifanywe kwenye pesa za tozo baada ya ujenzi wa madarasa kukamilika.
UtopoloMtanikumbuka!
Safi sana. Hadi muichiwieShule za Kima secondary School na Suya secondary school za Arusha wanafunzi wote wametangaziwa kuwa mwakani wanatakiwa kulipa ada na hela ya mlinzi.
Ada ni elfu 20,000 kwa mwaka na mlinzi ni 4000 kwa mwaka, vipi shule nyingine hali ikoje wakuu? Wazazi wamepanic saaaana
MmmmMama anafungua nchi.
Kuajiri hawawezi wanaajiri walimu elfu3,,, press conference kama zoteWarudishe ada waboreshe mazingira ya elimu, waboreshe maslahi ya walimu na kuajiri walimu wa kutosha...
Acha tuZilipokuwepo ada waliboresha mazingira ya elimu ?,walimu walikuwa wanashinda vilabuni wanakunywa wanzuki tu,issue ni supervision ngazi zote
UnfurahiSafi sana. Hadi muichiwie
sema nitamkumbuka, wengine hatuwezi kumbuka dust,Mtanikumbuka!
Makolo!Utopolo
Mwalimu wa grade III unasubiri ajira?sema nitamkumbuka, wengine hatuwezi kumbuka dust,
Elimu Bure ila kashindwa kuajiri walimu ,miaka mitano, anajificha kwenye kivuli Cha walimu wa sayansi.
Muhimu kushukuru Mungu sana kwa kuondoa dust.