Ada shuleni zimerudi?

Ada shuleni zimerudi?

Shule za Kima secondary School na Suya secondary school za Arusha wanafunzi wote wametangaziwa kuwa mwakani wanatakiwa kulipa ada na hela ya mlinzi.

Ada ni elfu 20,000 kwa mwaka na mlinzi ni 4000 kwa mwaka, vipi shule nyingine hali ikoje wakuu? Wazazi wamepanic saaaana
Kuchangia 24,000/= kwa mwaka kwa ajili ya elimu ya mtoto mzazi hawezi....
Nchi ngumu sana hii.
 
sema nitamkumbuka, wengine hatuwezi kumbuka dust,
Elimu Bure ila kashindwa kuajiri walimu ,miaka mitano, anajificha kwenye kivuli Cha walimu wa sayansi.
Muhimu kushukuru Mungu sana kwa kuondoa dust.
Wasayansi aliwagawa phy na Maths tu, chemia, biology, geography wanasugua benchi
 
Acha uongo...Kama una ugomvi na wakuu wa shule au walimu wa hapo bora uongee. Au unataka kupaka matope serikali. Vinginevyo hiyo itakuwa michango ambayo imepitishwa na wazazi wenzako kwa ajili ya kuboresha taaluma. Jenga tabia ya kuhudhuria vikao vya wazazi shuleni ili kuacha majungu mitandaoni.
 
Hawa walikuwa hawajui kabisa namuna JPM alivyokuwa anaendesha nchi.

Sasa hivyi kila kitu shagarabagara,huku unasikia kijamaa Fulani eti kinaanza kuruka na chopa eti kuangalia mabwawa,Mara mgao wa umeme,Mara ng'ombe zinamaliza maji kwenye mabwawa, utafikiri kufuga wameanza leo.
Hovyo kabisa.
 
Shule za Kima secondary School na Suya secondary school za Arusha wanafunzi wote wametangaziwa kuwa mwakani wanatakiwa kulipa ada na hela ya mlinzi.

Ada ni elfu 20,000 kwa mwaka na mlinzi ni 4000 kwa mwaka, vipi shule nyingine hali ikoje wakuu? Wazazi wamepanic saaaana
Ya kweli haya? Kama ni kweli nani alitoa hilo tangazo?
 
Shule za Kima secondary School na Suya secondary school za Arusha wanafunzi wote wametangaziwa kuwa mwakani wanatakiwa kulipa ada na hela ya mlinzi.

Ada ni elfu 20,000 kwa mwaka na mlinzi ni 4000 kwa mwaka, vipi shule nyingine hali ikoje wakuu? Wazazi wamepanic saaaana
Elfu ishirini unai diskas mbele ya watu. Halafu Ni kwa mwaka.
Gesti unalipa 25,000. Masaa mawili kondom na vocha juu hulalamiki.
Hivi vipaumbele vya watanzania Ni vipi?
 
Hujajibu swali la mleta uzi
Elfu ishirini unai diskas mbele ya watu. Halafu Ni kwa mwaka.
Gesti unalipa 25,000. Masaa mawili kondom na vocha juu hulalamiki.
Hivi vipaumbele vya watanzania Ni vipi?
 
Warudishe ada waboreshe mazingira ya elimu, waboreshe maslahi ya walimu na kuajiri walimu wa kutosha...
Kwa hiyo hayo yote yanashindwa kufanyika kwa sababu elimu bure
 
Elfu ishirini unai diskas mbele ya watu. Halafu Ni kwa mwaka.
Gesti unalipa 25,000. Masaa mawili kondom na vocha juu hulalamiki.
Hivi vipaumbele vya watanzania Ni vipi?
Inashangaza sana kiukweli
 
Kama watu wanakosa mpaka chakula, habari ya 20,000 kwao ni kitu kikubwa sana.
Na vijijini unakuta familia Moja Ina watoto mpaka 10, kwahiyo hapo 24,000 mara 10.
 
Shule za Kima secondary School na Suya secondary school za Arusha wanafunzi wote wametangaziwa kuwa mwakani wanatakiwa kulipa ada na hela ya mlinzi.

Ada ni elfu 20,000 kwa mwaka na mlinzi ni 4000 kwa mwaka, vipi shule nyingine hali ikoje wakuu? Wazazi wamepanic saaaana
Kwani wewe ulikuwa hulipi hiyo elfu 20?
 
Acha uongo...Kama una ugomvi na wakuu wa shule au walimu wa hapo bora uongee. Au unataka kupaka matope serikali. Vinginevyo hiyo itakuwa michango ambayo imepitishwa na wazazi wenzako kwa ajili ya kuboresha taaluma. Jenga tabia ya kuhudhuria vikao vya wazazi shuleni ili kuacha majungu mitandaoni.
Tuliza mzuka Taga mie Nina vivid example
 
Hawa walikuwa hawajui kabisa namuna JPM alivyokuwa anaendesha nchi.

Sasa hivyi kila kitu shagarabagara,huku unasikia kijamaa Fulani eti kinaanza kuruka na chopa eti kuangalia mabwawa,Mara mgao wa umeme,Mara ng'ombe zinamaliza maji kwenye mabwawa, utafikiri kufuga wameanza leo.
Hovyo kabisa.
Kibwana?
 
Back
Top Bottom