Ada shuleni zimerudi?

Ada shuleni zimerudi?

Elfu ishirini unai diskas mbele ya watu. Halafu Ni kwa mwaka.
Gesti unalipa 25,000. Masaa mawili kondom na vocha juu hulalamiki.
Hivi vipaumbele vya watanzania Ni vipi?
Kipaumbele ni elimu bure,,why watozwe ada
 
Watanzania mnapenda dezo!! Yani mtu hai ushindwe kubangaiza elf 20 kuchangia ununuzi wa chaki na kupaka rangi madarasa!!!!? Huu kwel ni unyonge! Hivi wtz nani katuroga??? Samia nae ananichefua kumpakazia Mbowe kesi za ajabu mwanzoni nildhani ana chochote labda kumbe nothing
 
Shule za Kima secondary School na Suya secondary school za Arusha wanafunzi wote wametangaziwa kuwa mwakani wanatakiwa kulipa ada na hela ya mlinzi.

Ada ni elfu 20,000 kwa mwaka na mlinzi ni 4000 kwa mwaka, vipi shule nyingine hali ikoje wakuu? Wazazi wamepanic saaaana
Sio kweli.
 
Zimerudi kwa njia ya makambi duuuh ulikuwa hujui?
 
Warudishe tu mana hii bora elimu imekua majanga..elimu ni ghatama..

#MaendeleoHayanaChama
 
Shule za Kima secondary School na Suya secondary school za Arusha wanafunzi wote wametangaziwa kuwa mwakani wanatakiwa kulipa ada na hela ya mlinzi.

Ada ni elfu 20,000 kwa mwaka na mlinzi ni 4000 kwa mwaka, vipi shule nyingine hali ikoje wakuu? Wazazi wamepanic saaaana
Ha ha ha. Vipi 2025 mtaprint fomu moja Tena?
 
Watanzania mnapenda dezo!! Yani mtu hai ushindwe kubangaiza elf 20 kuchangia ununuzi wa chaki na kupaka rangi madarasa!!!!? Huu kwel ni unyonge! Hivi wtz nani katuroga??? Samia nae ananichefua kumpakazia Mbowe kesi za ajabu mwanzoni nildhani ana chochote labda kumbe nothing
Hangaya anashindwa hii kesi aiteme vipi
 
Kama ada itarudishwa ili fedha za serikali zifanye kazi uliyosema hata Mimi naunga mkono. mzazi kukosa Ada ya sh. 20,000 kwa mwaka ni kutokuwa serious
Kabisa kwanza nashangaa unazaa uzae mwenyewe afu utake watu wakutunzie
 
Ila watanzania ni watu wa ajabu,mwendazake aliwalemaza sana na alivyokuwa mtu mbadi anawambia zaeni sana(ni ujinga wa hali ya juu kuzaa watoto ambao huwezi kuwapa mahitaji yao ya msingi ikiwepo elimu) yaani some people are like headless chicken
Yaani watoto uzae wewe afu utegemee mtu baki asomeshe watoto wako,?
Watu wanalemaa ubongo ada iongezwe angalau iwe sabini
 
Back
Top Bottom