Ada shuleni zimerudi?

Ada shuleni zimerudi?
 
Ndio sababu Raisi Mwalimu Nyerere alileta Uzazi wa Mpango (UMATI)
Hilo la Magufuli la kusema zaaeni nitawasomesha bure ilikuwa fix tu,JK alisema akili za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Kwann mlinzi asiajiriwe na serikali kama mwalimu,
 
Kuna ubaya Gani kuchangia elimu ya mwanao? Hakuna huduma ya Bure Duniani rafiki! Mbona huduma ya kutumia choo kichafu na kisichofaa Kwa matumizi ya mweñye kujitambua huko kwenye stendi zenu za mabasi mnachangia bila kulalama? Jitahidi kumlipia mtoto wako ada na michango mingine iliyoamuliwa na wazazi wenzako ili mboreshe mazingira ya ujifunzaji na acha kuwekeza baa na Kwa totos!
 

Hii Nimeipenda
 

nilipo soma title nikashtuka.
nafungua thread nisome hicho kilichorudi katika ada, nakuta umeandika elfu 20 kwa mwaka na elfu 4 ya mlinzi. nimeishia kucheka

nimebaki natafakari ile milioni mbili na nusu ninayomlipia kijana wangu anayesoma secondary fulani ya bweni inayopatikana mkoa fulani nchini.

jamani tutafute hela. tuache kulalamika.
 
Kama elfu 20,000 sio mbaya cha msingi michango ya kipuuzi isirudishwe na tozo zifutwe!
 
Lipeni ada! Elimu ni ghali sana sema tu wengi wenu hamjui thamani ya elimu! Mtu mwenye akili utakubalije kudanganywa na maneno matupu ya elimu bure wakati mtoto wako hajifunzi chochote?

Ada ya Tshs.20,000/= kwa mwaka ni kitu gani wakati watu wengine wanalipa japo Tshs.1,000,000/= ( milioni moja) kwa mwaka ili watoto wao wapate japo kidogo elimu yenye unafuu kwenye shule binafsi!
 
Mm nadhani kunautofauti Kati ya michango na ada.
 
Aisee we ni mjinga,yaan ada ya elfu ishirini ndio unakuja kulialia humu JF, unategemea serikali itaboreshaje mazingira ya elimu bila fedha?!
 
sema nitamkumbuka, wengine hatuwezi kumbuka dust,
Elimu Bure ila kashindwa kuajiri walimu ,miaka mitano, anajificha kwenye kivuli Cha walimu wa sayansi.
Muhimu kushukuru Mungu sana kwa kuondoa dust.
Exct,
 
Hii taarifa yako umeifanyia uchunguzi na kuhakikisha inaukweli??Source of information ni Nini!
 
Da elfu 24000 Tu unaianzishia Uzi akifika chuo je! Maana hata vyuo vya Serikali vina Ada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…