Ada shuleni zimerudi?

Ada haijawahi fatwa Sema kilichokuwa kimebadilika ni jina
 
Elfu ishirini unai diskas mbele ya watu. Halafu Ni kwa mwaka.
Gesti unalipa 25,000. Masaa mawili kondom na vocha juu hulalamiki.
Hivi vipaumbele vya watanzania Ni vipi?
Afu unakuta iyo 20000 ni ya chakula Cha mwanao mwaka mzima shuleni bado mtu anapata confidence ya kuja kubwabwaja hapa .....tz ni kichwa Cha mwenda wazimu ......
 
Tattoo watu waliambiwa elimu ni bure
Bbt hata 24000 bado ni bure. Wazazi wajifunze kuchangia toka huku chini huku vyuoni wanawaachia mizigo watoto kutegemea mikopo ambayo inawatesa Sana vijana.
 
Acha kupotosha Wewe,taarifa yako haina ukweli wowote.Tuletee kiini cha taarifa yako
 
Bbt hata 24000 bado ni bure. Wazazi wajifunze kuchangia toka huku chini huku vyuoni wanawaachia mizigo watoto kutegemea mikopo ambayo inawatesa Sana vijana.
Mtanzania anataka azae,
Mtoto asome bure mpaka la Saba,
Kisha aende sekondari ya kata,
Chuo mtoto apate mkopo
Mwisho mzee ajisifu amesomesha mtoto.
Ndio maana Hawa mabinti waliotoka shule za kata Ni rahisi sana kuingia kwenye mitego ya masponsa.
Mkopo haumtoshi mtoto wa kike kujiweka sopsop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…