Ada za maegesho ya magari ziongezwe kufikia Tsh. 5,000/= kwa saa

Ada za maegesho ya magari ziongezwe kufikia Tsh. 5,000/= kwa saa

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA Ada za maegesho zimeboreshwe mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa muda wa saa 1. Asanteni
Umetumia akili sana. Na pia kuwa na ada ya kuingia mjini. Kwa mfano sehemu kama pale Jangwani liwepo geti na magari yale yanalipia kuingia mjini. Opsss. Hili siyo wazo zuri kwa sababu fedha zitaishia kwenye matumbo ya akina Makonda na Nape.
 
Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA Ada za maegesho zimeboreshwe mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa muda wa saa 1. Asanteni
Ukiuugua wewe na huna gari na pesa kama Mimi na jirani kajitolea kukupeleka hospital na jirani hana hela za maegesho,utatoa Figo Yako!Hajo zingine kama za kichawi.
 
Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo;

1. Ada za maegesho zingeboreshwe mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1.

2. Maslahi ya wahudumu/wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe).
Kinachofata simalizi lisaa dk15 naitoa kwenda kutafuta parking nyingine.

Nakumbuka siku nimempeleka rafiki yangu ofisi ya Uber, first 1hour for free ofisi za Uber, sikumaliza huo muda yule mzee aliniangalia kwa huruma mpaka ikabidi nimuungie.
 
Kama huku Nako ni kuona mbali,Dunia imebaki na bongo lala!Pendekeza njia za juuu na chini nyingi kama alivyochangia mdau mmoja humu.
Miaka 60 hawakujenga watajenga hivi sasa?

Hawana uwezo ndio maana inabidi iangaliwe alternative ya ya dharura kwanza wakati wanajipanga for another sijui miaka ngapi ijayo.
 
Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo;

1. Ada za maegesho zingeboreshwe mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1.

2. Maslahi ya wahudumu/wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe).
Haya mambo tuachie sisi wenye magari!!!

Wewe zungumzia tu maegesho ya bodaboda
 
Back
Top Bottom