alexiz sanchez ozil
Senior Member
- Sep 12, 2015
- 139
- 394
Watu msio na magari mnaotembea kama mifugo mna chuki sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka ya nyumba kulikuwa na stand kama za Sasa,tuanzie hapo kwanza au maduka ya simu kama njugu.Miaka 60 hawakujenga watajenga hivi sasa ??!
Hawana uwezo ndio maana inabidi iangaliwe alternative ya ya dharura kwanza wakati wanajipanga for another sijui miaka ngapi ijayo !
Roho ya kimaskini sana.Watu msio na magari mnaotembea kama mifugo mna chuki sana
We utakuwa Huna Gari 🤣🤣🤣Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo;
1. Ada za maegesho zingeboreshwe mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1.
2. Maslahi ya wahudumu/wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe).
Utakelezaji wa ujinga?!!Utekelezaji tu
Wanayajua majina ya magari balaa🙉🙉We utakuwa Huna Gari 🤣🤣🤣
Maana nyie ndo mnatamani wenye magari wafariki..
Badala ya wwe nawe kuomba uwe kama wao
Kajituma mwenyewe na Roho mbaya yake!Umetumwa si bure
Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo;
1. Ada za maegesho zingeboreshwe mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1.
2. Maslahi ya wahudumu/wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe).
Wewe kama una hela ya gari ,utakosaje buku 5?Watu msio na magari mnaotembea kama mifugo mna chuki sana
Hakika. Michango ya harusi mnaahidi Kwa mamilioni Ila kuchangia miundombinu hamtakiWewe kama una hela ya gari ,utakosaje buku 5?
Naunga mkono hoja ya mtoa mada.
Ushauri wa kijinga huu, sawa sawa na ujinga wa serikali ya ccm kuweka Kodi kubwa za magari. Yaani ni aina Fulani ya wivu TU ili kumiliki gari iwe kama anasa wakati ni chombo muhimu Kwa usafiri.Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo;
1. Ada za maegesho zingeboreshwa mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1.
2. Maslahi ya Madiwani na wahudumu/wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe).
😄😁🤣😀Msiokuwa na magari mna wivu sna kkkmae
Sina gari, pikipiki wala baiskeli, ila hii comment imenichekesha sana. Chuki mbaya sana.Watu msio na magari mnaotembea kama mifugo mna chuki sana