Bechede
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 872
- 2,422
Una akili sana mpaka nyingine zinamwagika. Tena wasiishie kwenye ada ya TARURA, waende mbali zaidi katika kupunguza msongamano;Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo;
1. Ada za maegesho zingeboreshwa mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1.
2. Maslahi ya Madiwani na wahudumu/ wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboresu
1. Kuwepo kibali maalumu cha kuingia mjini na chombo cha moto. Fomu ya kuomba kibali iwe 50,000/= na kibali chenyewe kiwe kinalipiwa 500,000/= kwa mwezi.
2. Waongeze na bei ya mafuta ili watu wasipende kutumia magari. Bei kwa lita badala ya 3200/= iwe 10,000/= kwa litq.
3. Iwekwe kodi ya uchavuzi wa hali ya hewa ya kwa moshi wa magari Tsh 500,000/= kwa mwaka.
Ikiwa hivyo utakuwa unapita barabarani njia yote nyeupe bila foleni.