Ada za maegesho ya magari ziongezwe kufikia Tsh. 5,000/= kwa saa

Ada za maegesho ya magari ziongezwe kufikia Tsh. 5,000/= kwa saa

Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo;

1. Ada za maegesho zingeboreshwa mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1.

2. Maslahi ya Madiwani na wahudumu/ wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe).
Kima wewe
 
Hii haitapunguza msongamano, bali itaongeza gharama za maisha kwa mlaji wa mwisho, kumbuka anaekwenda mjini anabebesha mzigo wote wa gharama zake kwa mteja wake wa mwisho..., maana hakuna anaekwenda kutalii au kucheza mjini, bali ni biashara...
 
hayo ni mawazo ya kimaskini ya kufikiri gari ni anasa wakati dunia inakaribia karne ya 22.

Kama ungetumia akili yako vizuri ungejua kuwa, huwezi kukomoa watu kutumia magari wakati hakuna mbadala wa kufikisha watu mjini kwa haraka mfano treni za mwendo kasi mijini nk nk.

By the way; hadi sasa gari ndio bidhaa inayolipiwa kodi nyingi kuliko bidhaa nyingine yoyote.
Hata wangeboresha usafiri wa mabasi ya mwendokasi ingefanya baadhi ya watu kuwa mara nyingi wayaacha magari yao nyumbani !
 
Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo;

1. Ada za maegesho zingeboreshwa mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1.

2. Maslahi ya Madiwani na wahudumu/ wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe).
Gari ni hitaji la msingi dunia ya leo

Huko kutaumiza wengi

Yaani 5,000 *7 35,000 kwa siku?

Hizo daladala si zitakuwa zimezidiwa?
 
Unanunua gari 40m TZS unalalamika Parking fee 5,000
Gharama ya gari sio kununuaa

Maintainance ,mafuta na vingine

Ukipaki 35,000 per day. Ni 1m kwa mwezi

Mil 13 per year

Mafuta bado

Service

Pata experience kwanza ndio useme hivo
 
Back
Top Bottom