Msiokuwa na magari mna wivu sana.Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini. Ada za maegesho zimeboreshwe mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa muda wa saa 1
Kweli kabisa kabisa umeona mbaliKatika Kupunguza msongamano wa magari mijini. Ada za maegesho zimeboreshwe mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa muda wa saa 1
Umetumia akili sana. Na pia kuwa na ada ya kuingia mjini. Kwa mfano sehemu kama pale Jangwani liwepo geti na magari yale yanalipia kuingia mjini. Opsss. Hili siyo wazo zuri kwa sababu fedha zitaishia kwenye matumbo ya akina Makonda na Nape.Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA Ada za maegesho zimeboreshwe mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa muda wa saa 1. Asanteni
Hivi hili ni tusi jipya eeeeh?nimesikia mmama Mmoja akimtukana mwenzie Jana,Tena katamka ileile halafu nilikuwa sijawahi sikia popote nikasema watu Wana matusiiii🤔Unagongwa huogi
Ukiuugua wewe na huna gari na pesa kama Mimi na jirani kajitolea kukupeleka hospital na jirani hana hela za maegesho,utatoa Figo Yako!Hajo zingine kama za kichawi.Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA Ada za maegesho zimeboreshwe mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa muda wa saa 1. Asanteni
Na serikali yetu ilivyo SIKIVU🙆Msiokuwa na magari mna wivu sna kkkmae
Kama huku Nako ni kuona mbali,Dunia imebaki na bongo lala!Pendekeza njia za juuu na chini nyingi kama alivyochangia mdau mmoja humu.Kweli kabisa kabisa umeona mbali
Kinachofata simalizi lisaa dk15 naitoa kwenda kutafuta parking nyingine.Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo;
1. Ada za maegesho zingeboreshwe mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1.
2. Maslahi ya wahudumu/wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe).
Miaka 60 hawakujenga watajenga hivi sasa?Kama huku Nako ni kuona mbali,Dunia imebaki na bongo lala!Pendekeza njia za juuu na chini nyingi kama alivyochangia mdau mmoja humu.
Haya mambo tuachie sisi wenye magari!!!Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo;
1. Ada za maegesho zingeboreshwe mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1.
2. Maslahi ya wahudumu/wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe).
Jamaa watafaidi kweli kweli !Pesa ya bure hii
Naam. Pesa ya kuokota hii, Ni kujipanga tuJamaa watafaidi kweli kweli !