Ada za maegesho ya magari ziongezwe kufikia Tsh. 5,000/= kwa saa

Kima wewe
 
Hii haitapunguza msongamano, bali itaongeza gharama za maisha kwa mlaji wa mwisho, kumbuka anaekwenda mjini anabebesha mzigo wote wa gharama zake kwa mteja wake wa mwisho..., maana hakuna anaekwenda kutalii au kucheza mjini, bali ni biashara...
 
Hata wangeboresha usafiri wa mabasi ya mwendokasi ingefanya baadhi ya watu kuwa mara nyingi wayaacha magari yao nyumbani !
 
Gari ni hitaji la msingi dunia ya leo

Huko kutaumiza wengi

Yaani 5,000 *7 35,000 kwa siku?

Hizo daladala si zitakuwa zimezidiwa?
 
Unanunua gari 40m TZS unalalamika Parking fee 5,000
Gharama ya gari sio kununuaa

Maintainance ,mafuta na vingine


Ukipaki 35,000 per day. Ni 1m kwa mwezi

Mil 13 per year


Mafuta bado

Service


Pata experience kwanza ndio useme hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…