Adam Kimbisa anaweza na anatosha kuwa Makamu Mwenyekiti CCM bara kumsaidia Mwenyekiti CCM taifa

Adam Kimbisa anaweza na anatosha kuwa Makamu Mwenyekiti CCM bara kumsaidia Mwenyekiti CCM taifa

Kwa maoni yangu, muungwana anastahili umakamu mwenyekiti wa CCM Taifa kuirithi mikoba ya Kinana, alieng'atuka kwa hiyari yake hivi karibuni. Hata hivyo hilo sio muhimu sana, but Kimbisa anafanya kazi nzuri mno, katika kukiongoza chama cha mapinduzi mkoa wa Dodoma.

Ndugu ADAM KIMBISA,
Aliwahi kua Meya wa jiji la Dar es salaam na mjumbe wa kamati kuu CCM Taifa.

Lakini pia amewahi kuhudumu kama mbunge wa Bunge la Africa Mashariki, akiwakilisha Tanzania.

Zaidi sana Alhaj ADAM KIMBISA amewahi kua katibu mkuu wa Red Cross Tanzania..

Si hivyo tu ADAM KIMBISA, amehudumu kwa kipindi kirefu, kama afisa muandamizi Wizara ya Mambo ya nje Tanzania.

Kwa kifupi ni mzoefu katika utumishi na uongozi wa chama na serikali Taifa. Ni mtu mzima mweye weledi, hekima na busara katika majukumu yake. Ni muadilifu na mchapakazi hodari mwenye mafanikio makubwa na ufanisi usio na shaka, katika kila kila jukumu au wajibu alopewa kuusimamia, kuutumikia au kuongoza.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Garma, inakuwaje tena unawatukuza “Homoo” kuna nini nyuma ya pazia “gargwe”?
 
Hakikisha anakulipa pesa ya promo hii
kwasababu gani nilipwe hali ya kua ni maoni na mtazamo wangu huru?

By the way ADAM OMARI KIMBISA haihitaji promo ya yeyote,

ni miongoni mwa waTanzania ambao vyeo na mamlaka huwafuata na kuwatafuta huko huko waliko, kutokana na historia ya uchapakazi, uadilifu na weledi wao mkubwa katika kazi 🐒
 
Yaan vyeo vyote hivyo amepitia na bado yupo madarakani, hapana kwa kweli inabidi asitaafishwe kwa lazma

wale wote waliozaliwa 1970-79 wanapaswa wakae pembeni wakati wao umeisha
ni wazi,
wengi wenye zaidi ya 75yrs ni weledi zaidi na kwakweli bado ni wachapakazi hodari mno kazini, kuliko wenye 45 na chini ya 60 yrs, full tamaa, full kihere here 🐒
 
Kuna kikundi cha wanga wanajiita UWT wasikusikie watatoa tamko.
kuna washirikina wa BAWACHA walikua wanafanya tambiko kwa kuchoma vitenge walivyopewa zawadi na Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🤣

imani za kushirikiana ni umasikini mbaya sana aise 🐒
 
Kwa maoni yangu, muungwana anastahili umakamu mwenyekiti wa CCM Taifa kuirithi mikoba ya Kinana, alieng'atuka kwa hiyari yake hivi karibuni. Hata hivyo hilo sio muhimu sana, but Kimbisa anafanya kazi nzuri mno, katika kukiongoza chama cha mapinduzi mkoa wa Dodoma.

Ndugu ADAM KIMBISA,
Aliwahi kua Meya wa jiji la Dar es salaam na mjumbe wa kamati kuu CCM Taifa.

Lakini pia amewahi kuhudumu kama mbunge wa Bunge la Africa Mashariki, akiwakilisha Tanzania.

Zaidi sana Alhaj ADAM KIMBISA amewahi kua katibu mkuu wa Red Cross Tanzania..

Si hivyo tu ADAM KIMBISA, amehudumu kwa kipindi kirefu, kama afisa muandamizi Wizara ya Mambo ya nje Tanzania.

Kwa kifupi ni mzoefu katika utumishi na uongozi wa chama na serikali Taifa. Ni mtu mzima mweye weledi, hekima na busara katika majukumu yake. Ni muadilifu na mchapakazi hodari mwenye mafanikio makubwa na ufanisi usio na shaka, katika kila kila jukumu au wajibu alopewa kuusimamia, kuutumikia au kuongoza.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Binafsi nakupendekeza wewe
 
Huyu Kimbisa msaliti wa maamuzi ya mwenyekiti wa ccm taifa (Kikwete) mwaka 2015?

Kimbisa aliitisha press huku akiwa amezungukwa na akina Nchimbi, Sophia Simba, John Mgeja, nk na kutoa karipio kali kwa Kikwete baada ya kumkata Lowasa.
Elezea vizuri gentleman mbona hujiamini gentleman? Mbona unaelezea kinyumenyume 🤣

Lakini CCM si ina utaratibu wa kujitahimini na kujisahihisha, au hujui?🐒
 
Binafsi nakupendekeza wewe
Shukran sana gentleman 🙏

najipanga kusaidia kuhudumu mambo ya nje huko mbeleni na kwahivyo nimebanwa na maandalizi kwasasa kukamilisha hizi kazi za wananchi,

nashukuru sana kwa kuniamini, wakati mwingine tutasaidiana kwenye chama nikiwa na muda wa kutosha zaidi 🐒
 
Hakuna cha kusadina hapa, saidina na Msigwa mkuu
 
Back
Top Bottom