Adam Kimbisa anaweza na anatosha kuwa Makamu Mwenyekiti CCM bara kumsaidia Mwenyekiti CCM taifa

walinunua ili wachome right? au ni ushirikina kamanda?@Benjamini Netanyahu
 
Kwa maoni yangu, muungwana anastahili umakamu mwenyekiti wa CCM Taifa kuirithi mikoba ya Kinana, alieng'atuka kwa hiyari yake hivi karibuni. Hata hivyo hilo sio muhimu sana, but Kimbisa anafanya kazi nzuri mno, katika kukiongoza chama cha mapinduzi mkoa wa Dodoma.

Ndugu ADAM KIMBISA,
Aliwahi kua Meya wa jiji la Dar es salaam na mjumbe wa kamati kuu CCM Taifa.

Lakini pia amewahi kuhudumu kama mbunge wa Bunge la Africa Mashariki, akiwakilisha Tanzania.

Zaidi sana Alhaj ADAM KIMBISA amewahi kua katibu mkuu wa Red Cross Tanzania..

Si hivyo tu ADAM KIMBISA, amehudumu kwa kipindi kirefu, kama afisa muandamizi Wizara ya Mambo ya nje Tanzania.

Kwa kifupi ni mzoefu katika utumishi na uongozi wa chama na serikali Taifa. Ni mtu mzima mweye weledi, hekima na busara katika majukumu yake. Ni muadilifu na mchapakazi hodari mwenye mafanikio makubwa na ufanisi usio na shaka, katika kila kila jukumu au wajibu alopewa kuusimamia, kuutumikia au kuongoza.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hii ni kampeni ya matajiri fisadi kuzidi kutaka kukimiliki chama cha ccm. Huyu Kimbisa msisahau ni mmoja wa wale walitoka kikao cha kamati kuu ya ccm kupinga kuenguliwa Edward Lowassa kua mgombea urais . Lowassa alikua kaenguliwa kwa shutuma nyingi za ufisadi. Wengine waliyokua watetezi wakubwa wa EL na ambao walitoka nje ya kamati kuu kupinga kuenguliwa mtu wao ni Sofia Simba na Katibu mkuu wa sasa wa ccm Emmanuel Nchimbi. CCM inahitaji watu wasio na madoa. Matajiri kama Kimbisa ambao hawawezi kueleza bila kutiliwa shaka chanzo cha mali zao hawafai kushika nafasi za juu za ccm kama chama hicho kinataka kupata imani kwa umma ambao wameanza kuona chama hicho kimejitenga na wananchi wa kawaida. Kitu ambacho ni tofauti na misingi na itikadi cha chama hicho.
 
Umri wake umesonga mno wapiga kura wengi vijana haiwezekani mwenyekiti CCM mama Samia kizee kikongwe na makamu CCM bara kizee kikongwe

Vizee vya umri wake vichache

CCM watafute makamu mwenyekiti kijana jamani hivyo vizee vikalee wajukuu lazima kuwe na succession plan hivyo vizee vkongwe kwenda zao huko shenzi type
 
Ujana sio hoja japo ukongwe nao ni shida. CCM inahitaji wazalendo watu waadilifu jasiri na wenye maarifa. Chama kinahitaji wajamaa kama ilivyo itikadi yao kuwaongoza. Majizi na fisadi mengi wala hayana maarifa na uzalendo.
 
Kwa maoni yangu, muungwana anastahili umakamu mwenyekiti wa CCM Taifa kuirithi mikoba ya Kinana, alieng'atuka kwa hiyari yake hivi karibuni. Hata hivyo hilo sio muhimu sana, but Kimbisa anafanya kazi nzuri mno, katika kukiongoza chama cha mapinduzi mkoa wa Dodoma.

Ndugu ADAM KIMBISA,
Aliwahi kua Meya wa jiji la Dar es salaam na mjumbe wa kamati kuu CCM Taifa.

Lakini pia amewahi kuhudumu kama mbunge wa Bunge la Africa Mashariki, akiwakilisha Tanzania.

Zaidi sana Alhaj ADAM KIMBISA amewahi kua katibu mkuu wa Red Cross Tanzania..

Si hivyo tu ADAM KIMBISA, amehudumu kwa kipindi kirefu, kama afisa muandamizi Wizara ya Mambo ya nje Tanzania.

Kwa kifupi ni mzoefu katika utumishi na uongozi wa chama na serikali Taifa. Ni mtu mzima mweye weledi, hekima na busara katika majukumu yake. Ni muadilifu na mchapakazi hodari mwenye mafanikio makubwa na ufanisi usio na shaka, katika kila kila jukumu au wajibu alopewa kuusimamia, kuutumikia au kuongoza.

Soma Pia: Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Kidumu Chama Cha Mapinduzi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Amekutuma?.
Mwambie akalime nyanya Kigoma.
 
WANACCM MUDA WOTE MNAWAZA KUGAWANA VYEO TU NA KUWATEKA NA KUWAUA WANAOWAWEKEA KAUZIBE.
 
si ndio maana huwa hawana na hawafanyagi maandamano, ndio maana huwa hawasusi, hawaziri wala kugomea uchaguzi na matokeo ya uchaguzi,

ndio maana huwa hawalalamiki kwa wananchi bali bali wanatafuta suluhisho mbdala na kuwashawishi wananchi hao hao kwa hoja za maana na mipango mahususi ya mageuzi right?

sio kama wewe huenda na chama ulichopo mnashiriki uganga na ushirikina, Ramli chonganishi mnatoana kafara, mnachukuana misukule halafu mnasingizia sijui nini huko,

useless kabisa 🐒
 
Umri wake umesonga mno wapiga kura wengi vijana haiwezekani mwenyekiti CCM mama Samia kizee kikongwe na makamu CCM bara kizee kikongwe

Vizee vya umri wake vichache

CCM watafute makamu mwenyekiti kijana jamani hivyo vizee vikalee wajukuu lazima kuwe na succession plan hivyo vizee vkongwe kwenda zao huko shenzi type
katika uongozi wa juu CCM hivi sasa, hakuna Mzee hata moja na sio mbaya,

Lakini nadhani ni muhimu zaidi akawepo Mzee ili angalau uwakilishi wa makundi yote utimie hapo juu, lakini pia uzoefu, weledi, hekima na busara zake nadhani ni muhimu zaidi 🐒
 
Hii ni kampeni ya matajiri fisadi kuzidi kutaka kukimiliki chama cha ccm. Huyu Kimbisa msisahau ni mmoja wa wale walitoka kikao cha kamati kuu ya ccm kupinga kuenguliwa Edward Lowassa kua mgombea urais . Lowassa alikua kaenguliwa kwa shutuma nyingi za ufisadi. Wengine waliyokua watetezi wakubwa wa EL na ambao walitoka nje ya kamati kuu kupinga kuenguliwa mtu wao ni Sofia Simba na Katibu mkuu wa sasa wa ccm Emmanuel Nchimbi. CCM inahitaji watu wasio na madoa. Matajiri kama Kimbisa ambao hawawezi kueleza bila kutiliwa shaka chanzo cha mali zao hawafai kushika nafasi za juu za ccm kama chama hicho kinataka kupata imani kwa umma ambao wameanza kuona chama hicho kimejitenga na wananchi wa kawaida. Kitu ambacho ni tofauti na misingi na itikadi cha chama hicho.
kwahiyo kua na maoni na mitazamo tofauti ndani ya chama kimoja ni doa, sio demokrasia, haki na uhuru wakujieleza?

Mambo yanabadilika gentleman, ni jambo la maana zaidi kuwaelezea hao wangwana walivyo sasa, na sio mambo yao ya kitambo 🐒

Infact,
ni muhimu zaidi kumuamini Mungu pekee gentleman, na si vinginevyo 🐒
 
Hebu mwacheni apumzike huyu mzee wangu hamna watu wengine

Ova
Kuna bandiko nilitoa jana kuhusu pendekezo la kiongozi wa chama Fulani kupumzika kutokana na hali yake..

Lakini hawa akina Kimbisa, Warioba, Cheyo, Generali ulimwengu, makamba, mkuchika, Mbowe, Lipumba n.k bado wanamchango mkubwa katika uongozi na siasa za Tanzania na kwahivyo hawana sababu hata moja kupumzika siasa za Tanzania 🐒
 
kwahiyo kua na maoni na mitazamo tofauti ndani ya chama kimoja ni doa, sio demokrasia, haki na uhuru wakujieleza?

Mambo yanabadilika gentleman, ni jambo la maana zaidi kuwaelezea hao wangwana walivyo sasa, na sio mambo yao ya kitambo 🐒

Infact,
ni muhimu zaidi kumuamini Mungu pekee gentleman, na si vinginevyo 🐒
chama kimoja kua na watu wenye mitazamo tofauti ni mkusanyiko wa watu wa kinafiki. Kila mtu atavuta kwake na matokeo ni vurugu na kutoelewana.
 
kwahiyo chadema ni wanafiki kwakua wamekataa kwenda sambamba na maoni ya chairman wao kushiriki maandamano haramu yaliyopigwa marufuku na polisi, na kwahiyo wanastahili kufurushwa chamani right?🐒

kwenye uzinduzi wa kitabu cha Hayati Sokoine, ulimsikiliza Jaji warioba kweli kwenye hotuba yake?

Utofauti wa maoni ya Warioba, ya Sokoine na ya Baba wa Taifa juu ya sheria ya rushwa na uhujumu uchumi, hali ya kua wote ni wa chama kimoja lakini pia serikali moja? Je, ni unafiki au fujo?

Na Je walivurugana?

au gentleman una chuki tu binafsi ndani yako?🐒
 
Back
Top Bottom