Adam Kimbisa anaweza na anatosha kuwa Makamu Mwenyekiti CCM bara kumsaidia Mwenyekiti CCM taifa

Mungu anakuona mkuu
Ananiona vizuri sana gentleman,
na hata haya yote yanafanyika kwa weledi hivi, ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu.

achana na imani potofu za ushirikina tafadhali gentleman, hazisaidii kitu hizo 🐒
 
Ndugu usimwaribie mwenzio
Kwa maoni yangu, muungwana anastahili umakamu mwenyekiti wa CCM Taifa kuirithi mikoba ya Kinana, alieng'atuka kwa hiyari yake hivi karibuni. Hata hivyo hilo sio muhimu sana, but Kimbisa anafanya kazi nzuri mno, katika kukiongoza chama cha mapinduzi mkoa wa Dodoma.

Ndugu ADAM KIMBISA,
Aliwahi kua Meya wa jiji la Dar es salaam na mjumbe wa kamati kuu CCM Taifa.

Lakini pia amewahi kuhudumu kama mbunge wa Bunge la Africa Mashariki, akiwakilisha Tanzania.

Zaidi sana Alhaj ADAM KIMBISA amewahi kua katibu mkuu wa Red Cross Tanzania..

Si hivyo tu ADAM KIMBISA, amehudumu kwa kipindi kirefu, kama afisa muandamizi Wizara ya Mambo ya nje Tanzania.

Kwa kifupi ni mzoefu katika utumishi na uongozi wa chama na serikali Taifa. Ni mtu mzima mweye weledi, hekima na busara katika majukumu yake. Ni muadilifu na mchapakazi hodari mwenye mafanikio makubwa na ufanisi usio na shaka, katika kila kila jukumu au wajibu alopewa kuusimamia, kuutumikia au kuongoza.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Mungu anakuona, siwezi kuwa ccm maisha yangu yote , ukitaka tushirikiane ondoka ccm.
hiyo ni haki na uhuru wako gentleman kuwa chama chochote cha siasa,

but kama waTanzania wazalendo, ni muhimu zaidi kufanya kazi kwa umoja na bidii bila kubaguana kwasabb yoyote ile, ili Taifa letu na watu wake waweza kupiga hatua za kimaendeleo kijamii kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimatafa 🐒
 
Kwa maoni yangu, muungwana anastahili umakamu mwenyekiti wa CCM Taifa kuirithi mikoba ya Kinana, alieng'atuka kwa hiyari yake hivi karibuni. Hata hivyo hilo sio muhimu sana, but Kimbisa anafanya kazi nzuri mno, katika kukiongoza chama cha mapinduzi mkoa wa Dodoma.

Ndugu ADAM KIMBISA,
Aliwahi kua Meya wa jiji la Dar es salaam na mjumbe wa kamati kuu CCM Taifa.

Lakini pia amewahi kuhudumu kama mbunge wa Bunge la Africa Mashariki, akiwakilisha Tanzania.

Zaidi sana Alhaj ADAM KIMBISA amewahi kua katibu mkuu wa Red Cross Tanzania..

Si hivyo tu ADAM KIMBISA, amehudumu kwa kipindi kirefu, kama afisa muandamizi Wizara ya Mambo ya nje Tanzania.

Kwa kifupi ni mzoefu katika utumishi na uongozi wa chama na serikali Taifa. Ni mtu mzima mweye weledi, hekima na busara katika majukumu yake. Ni muadilifu na mchapakazi hodari mwenye mafanikio makubwa na ufanisi usio na shaka, katika kila kila jukumu au wajibu alopewa kuusimamia, kuutumikia au kuongoza.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi [emoji205]

Mungu Ibariki Tanzania
Muhuni huyo awe makamu wa mkiti CCM taifa?, pathetic mleta uzi
 
Back
Top Bottom