Adam Kimbisa anaweza na anatosha kuwa Makamu Mwenyekiti CCM bara kumsaidia Mwenyekiti CCM taifa

Garma, inakuwaje tena unawatukuza β€œHomoo” kuna nini nyuma ya pazia β€œgargwe”?
 
Hakikisha anakulipa pesa ya promo hii
kwasababu gani nilipwe hali ya kua ni maoni na mtazamo wangu huru?

By the way ADAM OMARI KIMBISA haihitaji promo ya yeyote,

ni miongoni mwa waTanzania ambao vyeo na mamlaka huwafuata na kuwatafuta huko huko waliko, kutokana na historia ya uchapakazi, uadilifu na weledi wao mkubwa katika kazi πŸ’
 
Machawa wa CCM mmekaa kama wauza nyapu.
Mnamdandia yeyote mwenye dau kubwa.
 
Yaan vyeo vyote hivyo amepitia na bado yupo madarakani, hapana kwa kweli inabidi asitaafishwe kwa lazma

wale wote waliozaliwa 1970-79 wanapaswa wakae pembeni wakati wao umeisha
ni wazi,
wengi wenye zaidi ya 75yrs ni weledi zaidi na kwakweli bado ni wachapakazi hodari mno kazini, kuliko wenye 45 na chini ya 60 yrs, full tamaa, full kihere here πŸ’
 
Kuna kikundi cha wanga wanajiita UWT wasikusikie watatoa tamko.
kuna washirikina wa BAWACHA walikua wanafanya tambiko kwa kuchoma vitenge walivyopewa zawadi na Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🀣

imani za kushirikiana ni umasikini mbaya sana aise πŸ’
 
Binafsi nakupendekeza wewe
 
Huyu Kimbisa msaliti wa maamuzi ya mwenyekiti wa ccm taifa (Kikwete) mwaka 2015?

Kimbisa aliitisha press huku akiwa amezungukwa na akina Nchimbi, Sophia Simba, John Mgeja, nk na kutoa karipio kali kwa Kikwete baada ya kumkata Lowasa.
Elezea vizuri gentleman mbona hujiamini gentleman? Mbona unaelezea kinyumenyume 🀣

Lakini CCM si ina utaratibu wa kujitahimini na kujisahihisha, au hujui?πŸ’
 
Binafsi nakupendekeza wewe
Shukran sana gentleman πŸ™

najipanga kusaidia kuhudumu mambo ya nje huko mbeleni na kwahivyo nimebanwa na maandalizi kwasasa kukamilisha hizi kazi za wananchi,

nashukuru sana kwa kuniamini, wakati mwingine tutasaidiana kwenye chama nikiwa na muda wa kutosha zaidi πŸ’
 
Hakuna cha kusadina hapa, saidina na Msigwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…