Adam Kimbisa anaweza na anatosha kuwa Makamu Mwenyekiti CCM bara kumsaidia Mwenyekiti CCM taifa

Mungu anakuona mkuu
Ananiona vizuri sana gentleman,
na hata haya yote yanafanyika kwa weledi hivi, ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu.

achana na imani potofu za ushirikina tafadhali gentleman, hazisaidii kitu hizo πŸ’
 
Ananiona vizuri sana gentleman,
na hata haya yote yanafanyika kwa weledi hivi, ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu.

achana na imani potofu za ushirikina tafadhali gentleman, hazisaidii kitu hizo πŸ’
Mungu anakuona, siwezi kuwa ccm maisha yangu yote , ukitaka tushirikiane ondoka ccm.
 
Ndugu usimwaribie mwenzio
 
Mungu anakuona, siwezi kuwa ccm maisha yangu yote , ukitaka tushirikiane ondoka ccm.
hiyo ni haki na uhuru wako gentleman kuwa chama chochote cha siasa,

but kama waTanzania wazalendo, ni muhimu zaidi kufanya kazi kwa umoja na bidii bila kubaguana kwasabb yoyote ile, ili Taifa letu na watu wake waweza kupiga hatua za kimaendeleo kijamii kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimatafa πŸ’
 
Muhuni huyo awe makamu wa mkiti CCM taifa?, pathetic mleta uzi
 
Muhuni hiyo awesome makamu wa mkiti CCM taifa?, pathetic mleta uzi
ni muhimu sana waziri akaachwa na kupewa nafasi Γ±a fursa zaidi kutumikia wananchi pale alipo gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…