Qchief na chid benz yataka moyo sana kuwavumiliaImagine wapo on air then anaropoka "we adam si kila siku unalalamika mama brandon anakusumbua humuelewi unataka msaada(wa kiganga)". Adam akamwambia nakuzimia mic coz unaattack my family, hata kennedy alimmind chila basi tu hana nguvu ila wangemchangia.
Majani je?Adam wahuni ndo washikaj zake hvyo hawazinguan,ndo maana hata kwenye ma antvirus hakuwah kuimbwa
daaah... ulivyoandika tu kila mtu ameshtuka.... wewe utakuwa unaishi kinondoni .... maana huko nasikia ndo balaa kwa mambo hayo....Machoko wako chuga maana wao kugawa tobo kwa watalii ila wapete tiketi kwao barida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbasha ule mpunga ilibidi aupate tuu alimfanyia jamaa shambulio la aibu 😂Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha Ep yake kwenye kipindi hicho, msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na kilichompeleka.
Msanii Q chief amechukua hatua za kisheria dhidi ya mtangazaji huyo.
Habari zaidi msikilize mwanasheria wa msanii huyo,
View attachment 2551144View attachment 2551145
Hii si mara ya kwanza Adam kufanya shambulio la kudhulu mwili, alifanya hivyo kwa Emanuel Mbasha, Alifanya hivyo Kwa Mtangazaji mwenzie enzi yupo Clouds Dina Marios, Geah Habib,nk hapo hapo clouds na kusababisha kusimamishwa kwa muda asiende kazini.
Hii tabia inaharibu brand ya Clouds iliyowekwa kwa muda mrefu.
Joseph Kusaga huyu bwana mdogo anakuharibia sana hapo clouds fukuza kazi ulinde brand ya kampuni,kampuni kwanza mtu baadae!
Mzaha mzaha hutumbua usaha wahenga walinena,usipoziba ufa utajenga ukuta.Wacha kukumbatia wahuni fukuzia mbali.
Kwamba wachugga tumekukosea nini mkuu? 😁Bangi zitamkuza vipi. Ataonekana mshamba siku zote, mambo ya Kiara chuga anayaleta mjini.
Watz kwa umbea mnaongozaAdamu mchomvu kuinusa jela kisa kumpiga Q chief
Hii inakuja baada ya muda mfupi Q chief kufunguka mengi.. March 1 2023 Q chief akiwa anarealz Ep yake kwenye kituo cha Radio cha clouds kwenye kipindi cha Xxl Ndipo aliyoweza pokea makonde kutoka kwa mtangazaji huyo
Adam Mchomvu....
Adam mchomvu sio mara ya kwanza kutembeza vichapo mix mitamba maana hata somebody' mbacha nae ashawai kupokea kichapo toka kwa Mchomvu.
Basi kwakuwa pambano anaziweza mchomvu.. mandoga yuko kazini tuandae pambano la uhakika ili tukaone ubabe wake.
Mhh Chid namba nyingine anatag lake la watoto wa Ilala boma mixer Mchikichini hawafai hata kidogo,Chid mtoe kwenye wanyonge.Qchief na chid benz yataka moyo sana kuwavumilia
Huyo mwingine ugomvi wake sasa hivi ni kuchoma watu na bisibisiQchief na chid benz yataka moyo sana kuwavumilia
Hachukuliwi hatua kwa kuwa ni wao (wachapwa makonde) ndio wanamchokoza Mchomvu bila shaka.Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha Ep yake kwenye kipindi hicho, msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na kilichompeleka.
Msanii Q chief amechukua hatua za kisheria dhidi ya mtangazaji huyo.
Habari zaidi msikilize mwanasheria wa msanii huyo,
View attachment 2551144View attachment 2551145
Hii si mara ya kwanza Adam kufanya shambulio la kudhulu mwili, alifanya hivyo kwa Emanuel Mbasha, Alifanya hivyo Kwa Mtangazaji mwenzie enzi yupo Clouds Dina Marios, Geah Habib,nk hapo hapo clouds na kusababisha kusimamishwa kwa muda asiende kazini.
Hii tabia inaharibu brand ya Clouds iliyowekwa kwa muda mrefu.
Joseph Kusaga huyu bwana mdogo anakuharibia sana hapo clouds fukuza kazi ulinde brand ya kampuni,kampuni kwanza mtu baadae!
Mzaha mzaha hutumbua usaha wahenga walinena,usipoziba ufa utajenga ukuta.Wacha kukumbatia wahuni fukuzia mbali.
Clouds Media ni genge la wahuni waliojiajiri. Kwanini wamfukuze mwenzao?Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha Ep yake kwenye kipindi hicho, msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na kilichompeleka.
Msanii Q chief amechukua hatua za kisheria dhidi ya mtangazaji huyo.
Habari zaidi msikilize mwanasheria wa msanii huyo,
View attachment 2551144MView attachment 2551145
Hii si mara ya kwanza Adam kufanya shambulio la kudhulu mwili, alifanya hivyo kwa Emanuel Mbasha, Alifanya hivyo Kwa Mtangazaji mwenzie enzi yupo Clouds Dina Marios, Geah Habib,nk hapo hapo clouds na kusababisha kusimamishwa kwa muda asiende kazini.
Hii tabia inaharibu brand ya Clouds iliyowekwa kwa muda mrefu.
Joseph Kusaga huyu bwana mdogo anakuharibia sana hapo clouds fukuza kazi ulinde brand ya kampuni,kampuni kwanza mtu baadae!
Mzaha mzaha hutumbua usaha wahenga walinena,usipoziba ufa utajenga ukuta.Wacha kukumbatia wahuni fukuzia mbali.
Weee hata kusagah pia?Clouds Media ni genge la wahuni waliojiajiri. Kwanini wamfukuze mwenzao?
Ushawahi kumuona Mchungaji wa Kanisa la Kilokole kamteua mlevi na mvuta bangi kuwa Mzee wa Kanisa? Ahahahahah!!!Weee hata kusagah pia?