Adam Mchomvu ampiga msanii Q Chief

Kwanini kampiga???kampiga bila kosa??kwani adam ni kichaa??nahisi kuna chanzo ungekiweka pia tuone
Akamchokoze Majani yeye si muhuni. Hivi yeye nan anakorofishana na kila mtu refer list ya watu aliowapiga kweny comments juu hapo
 
Hili choko wanalifuga sana clouds. ila anajua wa wakuwapiga. kama yeye kidume kweli asipe wenye mbavu anafuata dhaifu
 
Siku aite Jeusi MC kwa interview alafu ampuge tuone kama ajachomwa visu
 
Yupo XXL miaka mingi na Hana Jipya kuwavitia wasikilizaji wapya na wazamani
Kusaga fanya upgrading ya watangazaji, wengi wapo vile vile miaka nenda rudi
 
Hapa tusiweke uarusha wala swala la bange..

Adam makuzi ya kwao mabovu tu.

Hata kama mtu amekuchocha unampigaje eneo la kazi.
Will smith alichokifanya stejini kwenye tamasha mpaka leo anajutia..
Adam alimkata mtu matama stejini na bado ana tamba,bado anapewa dili nono nono..

Anapiga watu studio [emoji981] kubwa kama clouds na bado yupo anatamba na sio mara moja..inasikitisha.

Sema adam ni mjanja anachagua wachovuwachovu...watu kama waliopinda hawagusi.
 
Yeye mwenyewe hutania wenzake vibaya kuliko hapo. Na kama anasemaga mama Brandon anamsumbua redioni basi Qchifu hana kosa lolote.
 
it was early morning, hakukuwa na sababu ya kusingizia foleni, pia nakubaliana ya hoja yako si kila anayepanda boda hana maisha na sio kila mwenye gari amefanikiwa kimaisha pia. gari sio kipimo cha kufanikiwa.
but the way alivyokuja angerequest hata tax kwa alfajiri hakuna folen sana na kama kuwahi ingemuwahisha tu.
nilichokimaanisha ni life lake lakimaskini tu hata awe na gari he is still poor kwa nlivyo mdiagnosis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…