Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Mtu amezaliwa na kukulia Arusha miaka yake yote utamwitaje?wapare ni wa R-chugga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu amezaliwa na kukulia Arusha miaka yake yote utamwitaje?wapare ni wa R-chugga?
Siku amguse majani ndio atajua hajui😀
Huyu kijana huu ubabe wa Arusha anauleta Dar, kuna siku atakuja kupigwa mpaka ajinyee.
Alivuka mipaka kwa kufanyaje? 🤣Ile siku nilikua nafatilia interview yao, Savimbi alivuka mipaka hata ningekua ni mimi ningedeal nae perpendicular.
Kwamba Q Chilla ndo alijifanya mganga au alimuita Adam kuwa ni mganga? 🤣Qchief alianza kujinadi kwa adam kua aende akamsafishe nyota maana ni mganga wa kienyeji, hapo ndio kisa kilianzia
Machoko wako chuga maana wao kugawa tobo kwa watalii ila wapete tiketi kwao baridaaaaahh... wapi dar mabwege na mashoga wengi ni kuwatwanga tu wakileta ufala.
Yaan kwamba mke wake Kam?watu hawajui tu ila hiyo interview ilofanya apigwe hata ningekua mimi ningemkanda...aliattack familia ya Adam hasa mke wake.
Usije ukafuta akija asomeMachoko wako chuga maana wao kugawa tobo kwa watalii ila wapete tiketi kwao barida
Sent using Jamii Forums mobile app
Elezea alovuka kwenda wapi?Ile siku nilikua nafatilia interview yao, Savimbi alivuka mipaka hata ningekua ni mimi ningedeal nae perpendicular.
Ambiere...ja hakhoKwamba Q Chilla ndo alijifanya mganga au alimuita Adam kuwa ni mganga? [emoji1787]
Anyway wapare huwa ndio tuko hivyo hatupendagi dharau! Yani ukitaka kujua balaa la mpare kuwa msema hovyo halafu uvuke mipaka ndio utajua. [emoji3]
Anabondwa alafu analialiaHuyo savimbi gani anabondwa kizembe namna hiyo?
Njedi washinjiadhe?Ambiere...ja hakho
Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha Ep yake kwenye kipindi hicho, msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na kilichompeleka.
Msanii Q chief amechukua hatua za kisheria dhidi ya mtangazaji huyo.
Habari zaidi msikilize mwanasheria wa msanii huyo,
View attachment 2551144View attachment 2551145
Hii si mara ya kwanza Adam kufanya shambulio la kudhulu mwili, alifanya hivyo kwa Emanuel Mbasha, Alifanya hivyo Kwa Mtangazaji mwenzie enzi yupo Clouds Dina Marios, Geah Habib,nk hapo hapo clouds na kusababisha kusimamishwa kwa muda asiende kazini.
Hii tabia inaharibu brand ya Clouds iliyowekwa kwa muda mrefu.
Joseph Kusaga huyu bwana mdogo anakuharibia sana hapo clouds fukuza kazi ulinde brand ya kampuni,kampuni kwanza mtu baadae!
Mzaha mzaha hutumbua usaha wahenga walinena,usipoziba ufa utajenga ukuta.Wacha kukumbatia wahuni fukuzia mbali.
Tukumbushe bondia yeyote Mpare Tanzania. Au ni Jay Msangi?Kwamba Q Chilla ndo alijifanya mganga au alimuita Adam kuwa ni mganga? 🤣
Anyway wapare huwa ndio tuko hivyo hatupendagi dharau! Yani ukitaka kujua balaa la mpare kuwa msema hovyo halafu uvuke mipaka ndio utajua. 😀
Hahahah sijui kuhusu bondia mpare ila nachofahamu hata mimi ukizingua nakukanda freshi tu 😀Tukumbushe bondia yeyote Mpare Tanzania. Au ni Jay Msangi?
Kupigana ni kinyume na kanuni za Kisabato.Hahahah sijui kuhusu bondia mpare ila nachofahamu hata mimi ukizingua nakukanda freshi tu 😀
Hahaha sio kupigana ni kupiga af mi sio msabato sheeKupigana ni kinyume na kanuni za Kisabato.
Nilikusudia kuwa kwa Wapare Usabato upo wa kutosha na nadhani huwa wanapewa mafundi wasiwe watata mtaaani. Tuishie hapa kama vipi. Ila mtafute mtu anaitwa Jay Msangi promoter wa ngumi ,nafikiri atakuwepo Youtube. Mjanja mjanja sana.Hahaha sio kupigana ni kupiga af mi sio msabato shee