Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kwa hiyo kitendo alichofanyiwa ni sahihi???Hujawahi kuangalia interview za Q chilla ye mwenyewe ndo wale wale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kitendo alichofanyiwa ni sahihi???Hujawahi kuangalia interview za Q chilla ye mwenyewe ndo wale wale
Si alishabutuliwa na Majani kwenye Msiba wa Ngwair na akawa mpole kama kifaranga kimemwagiwa majiSiku amguse majani ndio atajua hajui[emoji3]
Ni kwakua humjui ila unayosema Siyo kweli mchomvu anamaisha mazuri kajipanga sana labda kwakua kaamua kuweka maisha ya usela nje zaidi kuliko mambo yake binafsi ila wanaomjua huyo jamaa siyo mnyonge kimaisha hata kidogo mzeeAdam Mchomvu ni teja... Ni pusha... Siku akiachishwa kazi Clouds mtasikia kafa... Maana jamaa wenzake wote wana maendeleo yeye hadi leo anaishi kisela hana ffutu
Kwenda airport na Bodaboda siyo umasikin watu wengi wanaenda na bodaboda na wana cash ya kutosha maskini ukiwa na gari moja ndo unataka uende nalo kila sehem, Bodaboda inasaidia sana kukiwa na folen huwezi kukomaa na gari kwenye folen hadi uchelewe ndege wakati Kuna njia mbadala, lakin pia labda hakua na dereva wa kurudisha gari nyumbani sasa wewe ulitaka aje na gari lirudi na Nani?anatafuta namba kwa wahuni ana lolote af clouds ya wanawake wAnamuogopa tu na kumpa bichwa. in case hana cash atasumbua maskini wenzie hapo redioni.
nliwahi kumuona airport alfajiri kaletwa na boda kashushiwa nje coz boda haziingii ndani. hana lolote njaa tu.
aje kwa wahuni huku af ajione alivomchumba.
Brother Lucha unamuongelea Adam mchomvu yupi? Au huyu wa clouds anayegombana kila siku na wenye nyumba kuhusu kulipa Kodi au?Ni kwakua humjui ila unayosema Siyo kweli mchomvu anamaisha mazuri kajipanga sana labda kwakua kaamua kuweka maisha ya usela nje zaidi kuliko mambo yake binafsi ila wanaomjua huyo jamaa siyo mnyonge kimaisha hata kidogo mzee
Na hawa wanasheria majina sijui wanayapata wapi Cosmic Attorneys.Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha Ep yake kwenye kipindi hicho, msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na kilichompeleka.
Wapi kagombana kuhusu kodi unajua anaishi wapi? Hebu tuanzie hapo kwanzaBrother Lucha unamuongelea Adam mchomvu yupi? Au huyu wa clouds anayegombana kila siku na wenye nyumba kuhusu kulipa Kodi au?
Anaishi sinzaWapi kagombana kuhusu kodi unajua anaishi wapi? Hebu tuanzie hapo kwanza
Unajua binadam wengi huwa wana tabia kama ya Qchilla, wanaanza kukuchokoza wao unapowatia adabu wanakaa kinyonge Kama vile hawana hatia ili huruma iwe upande wao lakin kiuhalisia ubaya wanauanza wenyewe jamaa alimkashfu Adam kuhusu familia yake, Adam kumfundisha adabu kidogo malalamiko kaanza yeye ambae ndo aliuanzisha ugomvi na hayasemi makosa yakeImagine wapo on air then anaropoka "we adam si kila siku unalalamika mama brandon anakusumbua humuelewi unataka msaada(wa kiganga)". Adam akamwambia nakuzimia mic coz unaattack my family, hata kennedy alimmind chila basi tu hana nguvu ila wangemchangia.
Mpare wa Arusha.Mtu amezaliwa na kukulia Arusha miaka yake yote utamwitaje?
Sijasema alichofanyiwa ni kizuri, ila na yeye ajifunze kuwa mstaarabu unapokuwa kwenye kipindi pale ni business tu masihara mengine utafanya baadaeKwa hiyo kitendo alichofanyiwa ni sahihi???
Unaanza vizuri lakini unaendelea kusapoti alichofanyiwa.Sijasema alichofanyiwa ni kizuri, ila na yeye ajifunze kuwa mstaarabu unapokuwa kwenye kipindi pale ni business tu masihara mengine utafanya baadae
HAhahaKichaa