Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Kilichotokea ni aibu kubwa Sana Kwa waandaji na hiyo ni ishara kuwa MUNGU hayupo upande wenu, kuna mengi yatatokea Kwa kila mtakalokuwa mnaliandaa
Acha kupotosha wewe,wee unamadhambi mangapi lakini mungu anakupa hewa ,ankunyeshelea mvua ,kwahiyo unataka kusema mungu yuko upande wa lissu?
 
Jumatatu tu hapo. Mchomvu llazima akae benchi mwaka mzzima na faini miI mil5
 
Haujaona alivyokuwa anamkumbatia kumbatia hadi Adamu akapoteza balance? Itoshe kusema BASHA kapokea kichapo halali.
 
Vipi Mwenyekiti Mbowe aliishatoaGA tamko la yeye kuvamiwa pale Dodoma usiku? Ahahahahahahahah!!!
Usitafute kuhamisha magoli, kwa tukio la jana limeonyesha kuwa wana ccm wengi ni wavuta bhange sana na wewe ukiwemo
 
Usitafute kuhamisha magoli, kwa tukio la jana limeonyesha kuwa wana ccm wengi ni wavuta bhange sana na wewe ukiwemo
Ahahahahahahahah! Mwenyekiti Mbowe ni bonge la mstaarabu ndio maana wahuni walimvamia usiku pale Dodoma sio? Ahahahahahahahah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…