Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Wasanii wanafata pesa sio wanafata ccm.
 
Mtu kajenga brand yake kwa miaka 20 huko alafu inakuja kuchafuliwa mara moja tu stejini, not fair. Mbasha alikua anawaaminisha waTZ kuwa mchomvu ni bangi. Bora angemwambia in private na sio mbele ya umma.
Wasanii wangapi wamechafuka kwa kuambiwa wanavuta bangi??? Bangi ni sehemu ya vifaa vya kazi vya wasanii wengi! Na wasanii na entertainers wengi wanavuta bangi na wanajulikana na hawajawahi kushuka umaarufu kisa wamefichuliwa wanavuta bangi. Hata hivyo kimjini mjini The term "bangi sana" ninavyoelewa haimaanishi mtu anavuta bangi, humaanisha MKALI sana au ANA VITUKO SANA . Huyo Mchomvu atakuwa mshamba na akili zake zina mapungufu. Mtu mzima kumpiga teke au ngumi mtu mzima mwenzako ni wazi ni mshamba na mjinga
 
Dalili za siasa kupanda kichwani
 
Basha ndio kaenda kuvuruga Tamasha na Miguo yake ya Kijani , inakuwaje anaenda stejini huku akiwa kalewa?
 
Yaani aibu sana, chadema sehemu mbalimbali nchini wameanza kutumia kiashiria cha ngwala kwamba katika uchaguzi watawapiga ngwala CCM kama mbasha alivyopigwa na Mchomvu
Na CCM watawapiga chadema ngwala kwenye kutangaza matokeo na kuapisha
 
Mchomvu mtu wa Arusha????
 
Kweli kabisa kiongozi, haya mambo kwenye matamasha ya muziki kama Fiesta ni ya kawaida sanaa, na vijana kabla ya kufika hapo wanakuwa wameshapiga monde sanaa na kula cha Arusha.. [emoji23] [emoji23]
 
Tamasha la CCM? Wale walikuwa kazini. Hapendwi mtu ila pochi tu
 

Imeuma hee

Umechemka, na sio mimi tu nakuona hivyo
 
Huo hapo mtama
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa nini asilaumiwe yule shost aliyemchokoza? Wacheni kuisingizia Chadema kila mnapoharibikiwa. Yule fala ndiyo maana ngwaji alikuwa anamtafunia mkewe
Kweli na alikuwa akionyesha tabia za kishoga shoga kukumbatia hovyo mwanaume mwenzie...
 
Nakukubalia kabisaaa, mchomvu hata ukimsikiliza kwenye radio huwa anaongea matusi, Mimi mwenyewe niliwahi mkataza mume Wangu asisikilize kipindi chao kile na nikamwambia kuwa hao vijana hawajitambui wanavuta bangi hao maaana kile kipindi wanaongea tu matusi na huyo mchomvu ndio anaeongoza kuongea matusi, na hiyo inaonyesha kuwa ni mvuta bangi, na Kama sio mvuta bangi hangewexa kufanya kitendo Kama kile mbele Ya kamera, Wakati anajua fika kuwa TV hutazamwa na mamilioni Ya watu, Kakosea Sana mno Na kaharibu Kazi Ya watu, hivi hajui kuwa tamasha lilikuwa linaangaliwa na rais? A. K. A. Yesu? Hana akiri hata kidogo Yule mchomvu
 
Hawa wa hapa kwetu wanasubiriwa baada ya uchaguzi kupita then waanze kujiliza liza ule upuuzi wao,watapata majibu wanayostahili.
Leo wanamuziki wa congo wanalalamika hawauzi show ulaya sababu ya kumsifia kabila wameharibu CV yao waliyoijenga miaka na dikteta kabila hayupo madarakani wanategemea show za afrika tu sababu ya kuendekeza njaa za siku moja
 
kimjini mjini The term "bangi sana" ninavyoelewa haimaanishi mtu anavuta bangi. Huyo Mchomvu atakuwa mshamba na akili zake zina mapungufu. Mtu mzima kumpiga teke au ngumi mtu mzima mwenzako ni wazi ni mshamba na mjinga labda huyo mtu awe kakupiga nawe ili ujilinde. Jazba hadharani hadi kumpiga mwenzako ni ushamba na ujinga!!! Na ni dalili ya upungufu au kasoro ktk ubongo
 
Mchomvu anashida ya kimalezi
 
Si tulimuita wenyewe, kwani alituomba?
 
Umesahau Temba alivyowapa kubwa.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…