Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

CCM Polepole/Kakuru mna jambo kubwa la kujifunza hapa.
Kutumia wasanii wahuni wahuni katika matasha kama haya liwe funxo kubwa.
Wahuni wa mitaani ambao hawana itikadi yoyote mioyoni mwao ni rahisi kuvuruga kabisa matarajio ya kisiasa.
Huyo Adam ni mamluki asiyefaa katika jamii na achukuliwe hatua pamoja na waliomleta.
Ni aibu, aibu, AIBU
Wasanii wanafata pesa sio wanafata ccm.
 
Mtu kajenga brand yake kwa miaka 20 huko alafu inakuja kuchafuliwa mara moja tu stejini, not fair. Mbasha alikua anawaaminisha waTZ kuwa mchomvu ni bangi. Bora angemwambia in private na sio mbele ya umma.
Wasanii wangapi wamechafuka kwa kuambiwa wanavuta bangi??? Bangi ni sehemu ya vifaa vya kazi vya wasanii wengi! Na wasanii na entertainers wengi wanavuta bangi na wanajulikana na hawajawahi kushuka umaarufu kisa wamefichuliwa wanavuta bangi. Hata hivyo kimjini mjini The term "bangi sana" ninavyoelewa haimaanishi mtu anavuta bangi, humaanisha MKALI sana au ANA VITUKO SANA . Huyo Mchomvu atakuwa mshamba na akili zake zina mapungufu. Mtu mzima kumpiga teke au ngumi mtu mzima mwenzako ni wazi ni mshamba na mjinga
 
Huyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.

Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?

Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
Basha ndio kaenda kuvuruga Tamasha na Miguo yake ya Kijani , inakuwaje anaenda stejini huku akiwa kalewa?
 
Yaani aibu sana, chadema sehemu mbalimbali nchini wameanza kutumia kiashiria cha ngwala kwamba katika uchaguzi watawapiga ngwala CCM kama mbasha alivyopigwa na Mchomvu
Na CCM watawapiga chadema ngwala kwenye kutangaza matokeo na kuapisha
 
Huyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.

Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?

Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
Mchomvu mtu wa Arusha????
 
CCM Polepole/Kakuru mna jambo kubwa la kujifunza hapa.
Kutumia wasanii wahuni wahuni katika matasha kama haya liwe funxo kubwa.
Wahuni wa mitaani ambao hawana itikadi yoyote mioyoni mwao ni rahisi kuvuruga kabisa matarajio ya kisiasa.
Huyo Adam ni mamluki asiyefaa katika jamii na achukuliwe hatua pamoja na waliomleta.
Ni aibu, aibu, AIBU
Kweli kabisa kiongozi, haya mambo kwenye matamasha ya muziki kama Fiesta ni ya kawaida sanaa, na vijana kabla ya kufika hapo wanakuwa wameshapiga monde sanaa na kula cha Arusha.. [emoji23] [emoji23]
 
Tamasha la CCM? Wale walikuwa kazini. Hapendwi mtu ila pochi tu
 
Wewe vp kwa hiyo wewe kufungiwa kipindi unaona kawaida?

Najua nakukera sasa mimi humu JF nipo jana ,leo,kesho na nitaendelea kuwepo ,ww kama upendi unaweza ukani-IGNORE ruksa,kinyume chake ni SHOBO ZAKO MWENYEWE KUNIFUATILIA.

Mimi nimezungumzia angle nyingine,Mchomvu ni mtangazaji wa CMG,balozi wa CMG kila akifanyacho kina affect CMG +ve au -ve,event ya jana ilikuwa na ilikuwa ya watu wengi hasa viongozi wa nchi hata Mchomvu baadaye aliomba msamaha,sababu aligundua alichokifanya alikosea.

KIJANA JF BADO NIPO NA NITAENDELEA KUWEPO ,huna nafasi ya kunipangia platform ya kutumia kuchangia KWANI WE SO MKE WANGU wewe kama upendi pita kimya.

Imeuma hee

Umechemka, na sio mimi tu nakuona hivyo
 
Haya maccm tuyapige ngwala na tuyachonganishe yapigane ngwala.Ila nasikitika kutoona video ya ngwala aliyopigwa mbasha mwenye nayo angeitupia humu,ingependeza zaidi iwe ya slow motion tuone step by step za athari za mtama mpaka mlengwa anavyotua chini
Huo hapo mtama
 
Kwa nini asilaumiwe yule shost aliyemchokoza? Wacheni kuisingizia Chadema kila mnapoharibikiwa. Yule fala ndiyo maana ngwaji alikuwa anamtafunia mkewe
Kweli na alikuwa akionyesha tabia za kishoga shoga kukumbatia hovyo mwanaume mwenzie...
 
Wasanii wangapi wamechafuka kwa kuambiwa wanavuta bangi??? Bangi ni sehemu ya vifaa vya kazi vya wasanii wengi! Na wasanii na entertainers wengi wanavuta bangi na wanajulikana na hawajawahi kushuka umaarufu kisa wamefichuliwa wanavuta bangi. Hata hivyo kimjini mjini The term "bangi sana" ninavyoelewa haimaanishi mtu anavuta bangi. Huyo Mchomvu atakuwa mshamba na akili zake zina mapungufu. Mtu mzima kumpiga teke au ngumi mtu mzima mwenzako ni wazi ni mshamba na mjinga
Nakukubalia kabisaaa, mchomvu hata ukimsikiliza kwenye radio huwa anaongea matusi, Mimi mwenyewe niliwahi mkataza mume Wangu asisikilize kipindi chao kile na nikamwambia kuwa hao vijana hawajitambui wanavuta bangi hao maaana kile kipindi wanaongea tu matusi na huyo mchomvu ndio anaeongoza kuongea matusi, na hiyo inaonyesha kuwa ni mvuta bangi, na Kama sio mvuta bangi hangewexa kufanya kitendo Kama kile mbele Ya kamera, Wakati anajua fika kuwa TV hutazamwa na mamilioni Ya watu, Kakosea Sana mno Na kaharibu Kazi Ya watu, hivi hajui kuwa tamasha lilikuwa linaangaliwa na rais? A. K. A. Yesu? Hana akiri hata kidogo Yule mchomvu
 
Hawa wa hapa kwetu wanasubiriwa baada ya uchaguzi kupita then waanze kujiliza liza ule upuuzi wao,watapata majibu wanayostahili.
Leo wanamuziki wa congo wanalalamika hawauzi show ulaya sababu ya kumsifia kabila wameharibu CV yao waliyoijenga miaka na dikteta kabila hayupo madarakani wanategemea show za afrika tu sababu ya kuendekeza njaa za siku moja
 
Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu.

Ni aibu lakini nimeona ameitwa pembeni nadhani wameenda kuyamaliza.

kimjini mjini The term "bangi sana" ninavyoelewa haimaanishi mtu anavuta bangi. Huyo Mchomvu atakuwa mshamba na akili zake zina mapungufu. Mtu mzima kumpiga teke au ngumi mtu mzima mwenzako ni wazi ni mshamba na mjinga labda huyo mtu awe kakupiga nawe ili ujilinde. Jazba hadharani hadi kumpiga mwenzako ni ushamba na ujinga!!! Na ni dalili ya upungufu au kasoro ktk ubongo
 
Mchomvu anashida ya kimalezi
 
Huyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.

Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?

Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
Si tulimuita wenyewe, kwani alituomba?
 
Back
Top Bottom