Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Raia wa hayo mataifa sio legelege kama raia wa nchi yako.
Pia level yao ya uelewa ni kubwa kuliko ya watanzania wenzako hapo Tanzania
Sio kila siku ni jumapili,Kama wameweza Malawi,je watz watakubali kuteseka tena 5 yrs
 
Sio kila siku ni jumapili,Kama wameweza Malawi,je watz watakubali kuteseka tena 5 yrs
1. Jeshi la polis la Malawi ni tofauti na jeshi la polisi la Tanganyika

2. Malawians walipambana kuipata tume huru, wakati huku Tanganyika wananchi wanawategemea wanasiasa wadai tume huru kwa niaba yao.

Hizo ndio changamoto za kuikwaimisha Tanzania isipate hayo unayoyatarajia.
 
sio ishu ya kuwa Mungu hayupo hapana....ni ujinga wao tu hao wawili kila mtu amekosea kwenye eneo lake..lakini wote wawili hawana ethics mbele za watu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shida kaambiwa ukwelii...!
mbona mwenzake kaongea kimashara tu kuwa adam ww bangi mbna hata mitaani tunaambiana sana hivo...ujinga tu na kushiba umaarufu ndo shida hiyo
 
Walikua wanafundisha namna ya kupiga puli bila kutumia sabuni wala mafuta mkuu.

hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
njaa mbaya sana, kama siyo njaa yote haya yasingetokea
 
Inawezekana Adam ali PRE-PLAN either kutafuta kiki!

Kuna mtu kasema Adam alimwita Mbasha kwenye na akasema kwamba Mbasha anakunywa sana maji ndio maana ni mweupe!! Hii tunajua ni kusema jamaa anajichubua! Kwanini unamwita mtu jukwaani tena kwa utani mbaya halafu yeye anakutania back tena kwa utani wa kawaida unampiga!!!

Watu kama Adam ata urafiki sitaki!! Lakini “wasela” kwenye issue kama hizi ndio wanakuwa wanatetewa hata kama wamefanya makosa ambayo yapo wazi!!
 
Ni tabia yao.. Tuwazowee tuu jamani
Your browser is not able to display this video.
 
Jinga wewe ccm ikitawala miaka1000 we utafaidika na Nini? We kapuku tu.
Sawa mkuu mimi mjinga,nijibu swali lako juu ya faida ya CCM kutawala miaka 1000 ni kuwa tutaendekea kuishi kwa amani huku rasrimali za nchi yetu zikimnufaisha kila mtanzania

Mwisho nikanushe kuwa mimi sio kapuku ka udhaniavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…