Mimi sio chadema Mkuu, ila ni mtetezi wa haki za binadam, nachukizwa na magaidi wanaotumia siraha za wananchi kuuwa, kutesa, kupora, kunyanyasa ,kubagua na kueneza Chuki, mtu anajitokeza hadharani anasema kuwa watu Fulani wauwawe kesho yake huyo mtu anateuliwa kuwa Mkuu wa wilaya Au Mkoa nitakuwa mtu wa ajabu tena mnyama wa hatari sana Kama nitakuwa upande wa kiongozi wa Aina hiyo, kiongozi wa Aina hiyo ni muuuwaji katiri asietakiwa kuachwa na binadam yoyote anaemjua MUNGU.
Hivi Leo hiii ukute watu wanakumiminia risasi 32 mchana kweupeee Halafu una watoto wako na Mke ufe kisa tu umemkosoa huyo anaejiita MUNGU mtu je utajisikiaje? Watoto wako watajisikiaje? Familia majirani na Ndugu je, unataka kuniambia kuwa ukifanyiwa hivyo Mimi nifurahie nicheke?