Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Mkuu, labda umeamua tu kukataa ukweli, Lakini ukitizama na kufanya uchambuzi utagundua kuwa magufuli hatatoka madarakani Kwa njia za kisheria, atatoka Kwa njia zingne zitakazotiwa nguvu na mkono wa MUNGU, unajua sisi huwa ni wabishi Sana Kwa kuona kuwa vyombo vyote vya usalama viko imara, Mkuu MUNGU ana mbinu zake walai nakuambia hutakuja kuamini kiongozi hata Kama sio Mwaka huuu ila litakuja kutokea tuSubiri hilo jambo hutaliona milele. Usanii na ulevi unaita Mungu. Huwammnakosa mambo ya kuongea
Imoooooo!Weka video ya tukio husika only wengine hatuna muda wakuangalia hayo matakataka.
Migaambo wanaruka na kukanyagana [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji91] [emoji91] [emoji91] hii ngoma ya Sir Nature ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu.
Ni aibu lakini nimeona ameitwa pembeni nadhani wameenda kuyamaliza.
Kwahio Mungu ni mchonganishi, na anapiganisha watu ? Si angezima tu umeme au kukatokea shoti ?Yani watu huwa hawatafakari mambo, hapa kuna Jambo MUNGU kalifanya ila watu hawatajua Kwa haraka haraka, mmeandaa shughuli mmekodi matv meeeengi halafu walioko kwenye jukwaa wanapigana live na kutukanana live mamilioni Ya watu wakiwa wanatazama, maaana yake nikuwa mmetia aibu kubwa, pamoja na pesa mlizowalipa wamekuja kuwaharibia shughuli ambayo hata rais wa nchi alikuwa akiitazama, MUNGU kafanya Kwa kupitia hao wasanii mliotamba nao
Amekatwa mtama jombaaa...Kumpiga bunda ndo sijaelewa
Ili uje u comment R.I.P ehh!!Natamani wangeuana kbs
Kiongozi hujaelewa Au ni ugumu wa Kuelewa uko nao kichwani? Nakuambia kuwa Nia ni kutia doa shughuli, sio kuwaokoa hao, amefanya hivyo kupitia wasaniii ili kutia doa na kupunguza makari Ya kusijifu waaandajiKwahio Mungu ni mchonganishi, na anapiganisha watu ? Si angezima tu umeme au kukatokea shoti ?
Hivi Imani hizi.... anyway to each his/her own...
U p u u z i iMimi sio chadema Mkuu, ila ni mtetezi wa haki za binadam, nachukizwa na magaidi wanaotumia siraha za wananchi kuuwa, kutesa, kupora, kunyanyasa ,kubagua na kueneza Chuki, mtu anajitokeza hadharani anasema kuwa watu Fulani wauwawe kesho yake huyo mtu anateuliwa kuwa Mkuu wa wilaya Au Mkoa nitakuwa mtu wa ajabu tena mnyama wa hatari sana Kama nitakuwa upande wa kiongozi wa Aina hiyo, kiongozi wa Aina hiyo ni muuuwaji katiri asietakiwa kuachwa na binadam yoyote anaemjua MUNGU.
Hivi Leo hiii ukute watu wanakumiminia risasi 32 mchana kweupeee Halafu una watoto wako na Mke ufe kisa tu umemkosoa huyo anaejiita MUNGU mtu je utajisikiaje? Watoto wako watajisikiaje? Familia majirani na Ndugu je, unataka kuniambia kuwa ukifanyiwa hivyo Mimi nifurahie nicheke?
Daah sasa kama anakula cha Arusha mizuka ya nini sasa??Mchomvu na linex bange kwao ni chakula muhimu sana kwao
Sasa nyumbu ni nani kama si wewe? Yaani unabisha kitu ambacho kila mtu kaona, pimbi kweli wewe...Mbasha mlevi kalewa huyo, analeta masihara kwenye kazi za watu. Alistahili kichapo.
BTW hawajapigana ila Mbasha kapigwa teke la mguu na wala hakuna issue hapo yeye ka take easy kasepa jukwaani.
Ila kwa vile nyumbu kila jambo mnataka kupata kiki tayari mmeona issue
Asante mzee PUKUDU kwa linkhttps://t.co/4c5eWehQq2?ssr=true fata hyo link uone video
House girl wa polepoleHuyo Basha ni nani.?