Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Safi sana. Tutaendelea tu kuwaombea njaa maana hawajitambui. Wamesahau miaka yote Ccm huwatumia kama Big G! Uchaguzi unapokwisha, utashangaa wanaanza kulialia.
 
Adamu kamuita kwenye stage mbasha ila kwa utani wake kasema ni mtu anaetumia sana maji ndio maana kawa mweupe ila baada ya show mbasha kaongea na kusema tatizo we adamu bangi sana....adamu kapanic kamchampa mtama jamaa jukwaani alafu kama alikuwa na tamaa nae zaidi
 
.
Your browser is not able to display this video.
 
Huyo Mbasha!!!! Alikuwa amekunywa au kavuta nini kabla!!.. duh!!!

Anataja Bangi.. kwa mkusanyiko kama huo.. akitaka waongelee bangi anayoijua yeye na matumizi yake au?

Shame on him
 
Ngaramtoni ya juuu mpaka donyo sambuuu
Oi oi oiii
Yeah geah yeah
Ukinizingua nakuzinguaaa
 
Ndio maana serikali inataka watu wote wanao jihusisha na vyombo vya habari lazima wasome ili iwasaidie ktk kuzijua na kuziheshimu ethics zinaongoza maswala ya vyombo vya habari.

Sasa utakuta ethics hazijui ukichanganya na bange kichwa tayari kishakitia shoti kila analofanya anaona sawa.

Daah ila ule mtama........🤣🤣🤣🤣🤣 aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…