Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Huyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.

Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?

Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
CCM Polepole/Kakuru mna jambo kubwa la kujifunza hapa.
Kutumia wasanii wahuni wahuni katika matasha kama haya liwe funxo kubwa.
Wahuni wa mitaani ambao hawana itikadi yoyote mioyoni mwao ni rahisi kuvuruga kabisa matarajio ya kisiasa.
Huyo Adam ni mamluki asiyefaa katika jamii na achukuliwe hatua pamoja na waliomleta.
Ni aibu, aibu, AIBU
 
Yani watu huwa hawatafakari mambo, hapa kuna Jambo MUNGU kalifanya ila watu hawatajua Kwa haraka haraka, mmeandaa shughuli mmekodi matv meeeengi halafu walioko kwenye jukwaa wanapigana live na kutukanana live mamilioni Ya watu wakiwa wanatazama, maaana yake nikuwa mmetia aibu kubwa, pamoja na pesa mlizowalipa wamekuja kuwaharibia shughuli ambayo hata rais wa nchi alikuwa akiitazama, MUNGU kafanya Kwa kupitia hao wasanii mliotamba nao
Acheni kumsingizia muumba kwa chuki zenu wenyewe mambo mengine ya kawaida tu sema mnatapatapa sana na bado october hamna kura za huruma tunakuja kuwapiga mitama kwenye sanduku la kura
 
Huyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.

Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?

Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
MATAGA wamekosea kumleta MAANDAZI kama MBASHA..kaenda amelewa ndo kaambulia alichostahili
 
CCM Polepole/Kakuru mna jambo kubwa la kujifunza hapa.
Kutumia wasanii wahuni wahuni katika matasha kama haya liwe funxo kubwa.
Wahuni wa mitaani ambao hawana itikadi yoyote mioyoni mwao ni rahisi kuvuruga kabisa matarajio ya kisiasa.
Huyo Adam ni mamluki asiyefaa katika jamii na achukuliwe hatua pamoja na waliomleta.
Ni aibu, aibu, AIBU
Tatizo mbasha hakuongea maneno ya busara sasa kumwambia mwenzake bangi mbele ya hadhara sio sawa amekosea sana
 
CCM Polepole/Kakuru mna jambo kubwa la kujifunza hapa.
Kutumia wasanii wahuni wahuni katika matasha kama haya liwe funxo kubwa.
Wahuni wa mitaani ambao hawana itikadi yoyote mioyoni mwao ni rahisi kuvuruga kabisa matarajio ya kisiasa.
Huyo Adam ni mamluki asiyefaa katika jamii na achukuliwe hatua pamoja na waliomleta.
Ni aibu, aibu, AIBU
Yaani aibu sana, chadema sehemu mbalimbali nchini wameanza kutumia kiashiria cha ngwala kwamba katika uchaguzi watawapiga ngwala CCM kama mbasha alivyopigwa na Mchomvu
 
Huyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.

Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?

Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
Kuna mambo tafsiri yake ni ya kiroho tu na ndio husikika zaidi...kile kilichotegemewa kuwa matokeo chanya yamekuwa hasi na mjadala umepindukia kwingine
 
Huyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.

Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?

Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
Kwa nini asilaumiwe yule shost aliyemchokoza? Wacheni kuisingizia Chadema kila mnapoharibikiwa. Yule fala ndiyo maana ngwaji alikuwa anamtafunia mkewe
 
CCM Polepole/Kakuru mna jambo kubwa la kujifunza hapa.
Kutumia wasanii wahuni wahuni katika matasha kama haya liwe funxo kubwa.
Wahuni wa mitaani ambao hawana itikadi yoyote mioyoni mwao ni rahisi kuvuruga kabisa matarajio ya kisiasa.
Huyo Adam ni mamluki asiyefaa katika jamii na achukuliwe hatua pamoja na waliomleta.
Ni aibu, aibu, AIBU
Mbona povu
 
Tukio la ccm ifungiwe clouds kwani wao ndo wameandaa ilo tukio? Unajuaje pale alipata dili yeye kama yeye na si Clouds?
Hamna ila yule ni mtangazaji wa CMG ni balozi wa CMG,chochote akifanyacho kita affect CMG +ve au -ve.
 
Huyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.

Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?

Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
Tuliposikia kuwa Uhuru kuna jambo ikabidi tuwatengenezee hilo jambo
 
Tukio la ccm ifungiwe clouds kwani wao ndo wameandaa ilo tukio? Unajuaje pale alipata dili yeye kama yeye na si Clouds?
Hamna ila yule ni mtangazaji wa CMG ni balozi wa CMG,chochote akifanyacho kita affect CMG +ve au -ve.
 
Hawa wasanii ni wa kuwasamehe tu,maisha yao wengi ni duni sana tofauti na tambo na mikogo yao kwenye social media na television.

Ni ngumu kwao kukataa hiyo chambo ya CCM ya siku chache ingawa wanajua baada ya hapo wana msoto wa miaka mitano mbele.

Wachache wanaojitambua huwezi waona wakijipendekeza,Nay huwa namkubali hapa tu.
Ukiwafanya watu wawe masikini kimakusudi kwa kuwasomesha namba Ni lzm watakuabudu ili wasife njaa ndo wafanyavo madikteta na makomunist wote duniani.Waliangalia tumbo la siku moja na sio kwa mapenzi yao
 
Huyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.

Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?

Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
Ukisema Adamu alitumwa na Chadema inabidi useme na Mbasha pia alitumwa na Chadema maana wote tunajua chanzo cha ile kata funua ni maneno machafu kutoka kwenye kinywa cha Mbasha.
 
Hana adabu yule Mbasha.Hata hivyo ule mtama wa kichovu sana.Angempiga vizuri ang'oe hata jino.
 
Back
Top Bottom