Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau nimeamua niulize hili swali ili nipate uhakika!
Ni usiku huu nipo nimetulia hapa mageto nasikiliza Clouds FM, nadhani itakuwa ni kipindi cha Soso Fresh Friday (sina uhakika), Adamu Mchomvu anahojiwa na Meena Ally na Soudy Brown nadhani ni kuhusu Fiesta sijui, Mchomvu yupo Kigamboni!
Yaani jinsi jamaa anavyoongea na anavyojibu maswali anayoulizwa ni tofauti kabisa, na ni kama analegeza sana sauti kama mtu ambaye yupo high sana dizaini kama katumia kilevi (anasikika kama mla unga maana anaslein sana lugha) mpaka nimejiulza huyu jamaa leo vipi?
Na katika moja ya maneno yake anamwambia Meena Ally "Will you marry me?" Wakati Meena kamuulza swali la kuhusu Fiesta!
Nimeamua nije kwenu wadau na swali hili kufahamu kama ni kweli huyu jamaa anakula poda a.k.a sembe!
Naomba kuwasilisha.
Bangi banaWadau nimeamua niulize hili swali ili nipate uhakika!

Shobo ya nn sasa kwa Adamu au kwako,ww ndo nilikuona anakushika ta.ko kwenye fiesta?Acha shobo
Shobo inalipa ukitaka kushikwa ta.ko fiesta mm alinishika kinyeo?
Hapana madam hawez nipata mana naish uku shinyanga ndanindani sana kijiji kinaitwa ghamboshiMleta mada kitakukuta kitu,muulize Ima Mbasha
😂😂😂😂Kijiji Cha wachawi au sio?Hapana madam hawez nipata mana naish uku shinyanga ndanindani sana kijiji kinaitwa ghamboshi
Ndio madama alaf mzee wang ni mwenyekiti wa kijiji tunachoish😂😂😂😂Kijiji Cha wachawi au sio?
Teh teh teh 😂😂Hivi Mbasha alisemaje mpk akala mitama pale jukwaani?