Adam Mchomvu anakula unga?

Adam Mchomvu anakula unga?

siku zote tumia bhange lakini zingatia maisha yako na mfumo wa ulaji adam kachoka sana sio kama kipindi cha nyuma mwamba kaisha alaf bhange inakufanya ujiamini uko sawa kumbe ndo unapoteza mazima ila muda utatuambia kila kitu kuhusu yeye.
 
Wadau nimeamua niulize hili swali ili nipate uhakika!

Ni usiku huu nipo nimetulia hapa mageto nasikiliza Clouds FM, nadhani itakuwa ni kipindi cha Soso Fresh Friday (sina uhakika), Adamu Mchomvu anahojiwa na Meena Ally na Soudy Brown nadhani ni kuhusu Fiesta sijui, Mchomvu yupo Kigamboni!

Yaani jinsi jamaa anavyoongea na anavyojibu maswali anayoulizwa ni tofauti kabisa, na ni kama analegeza sana sauti kama mtu ambaye yupo high sana dizaini kama katumia kilevi (anasikika kama mla unga maana anaslein sana lugha) mpaka nimejiulza huyu jamaa leo vipi?

Na katika moja ya maneno yake anamwambia Meena Ally "Will you marry me?" Wakati Meena kamuulza swali la kuhusu Fiesta!

Nimeamua nije kwenu wadau na swali hili kufahamu kama ni kweli huyu jamaa anakula poda a.k.a sembe!

Naomba kuwasilisha.

Hatumii poda ila naingiaga nae chaka tulila mambo yetu!!usiulize yapi
 
Bangi bana
Labda anakula jani yeah
 
Ngoja niende switch pale kuwauliza kina lunyaa
 
Samtaim namhurumia mchizi.
Anyways ndio hivyo madogo wa Arachuga wanaharibiwa na umarekani weusi na ujamaica. Wanatamani wangezaliwa hizo sehemu. Usela wa kidwanzi kama watoto wa Temeke kumbe ni upumbavu
 
huyu nilishamuweka kundi la comedian usimchukulie directly kivile😝😝😝
 
Back
Top Bottom