Adam Mchomvu aomba radhi, asema alikwazika

Mbasha akiwa na Flora, alikuwa na utulivu flani, ni mtu mzuri lakini ile kesi yake na kuachana kulimwathiri kisaikolojia.
Gwaji boy alichagiza hiyo ndoa kufa
Huyo jamaa mdwanzi sana kumbe ndio maana aliachwa na mke wake
 

Mijitu mingine sijui ikoje.
Yaani wakisha kuwa na majini makubwa tu, basi wanaona wako juu ya kila kitu na wanashindwa kujitambua wako wapi na wanafanya nini. La ajabu hawa wanaogombana na kupigana kwenye majukwaa mbele ya watu na mbele ya vyombo vya habari,, ndo ccm inawang'ang'ania. Hii ni dhairi kuwa wanaofanya fujo kwenye mikutano ya vyama pinzani wanatoka huko huko kwa wanaopigania jukwaani.
 
Asingeomba radhi Angekua ametangaza vita na watu na taasisi ngingi Sana Nchi hii.
 
Mtangazaji wa Clouds media Adam Mchomvu amemshukuru Rais Magufuli na CCM kwa kumuamini na kumpa jukumu la kuongoza shughuli katika tamasha la wasanii.

Kadhalika Mchomvu amemuomba radhi Rais Magufuli na CCM kwa sintofahamu iliyotokea pale jukwaani kati yake na bwana ndugu msanii mwenzie Emmanuel Mbasha lililosababishwa na hasira.

Source Ayo tv.

Maendeleo hayana vyama!
 
Tamasha la mtama kwa kwenda mwendo wa mbuzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...lile tukio ndo la tuna Jambo letu ..
 
Zile sio hasira ni bangi , pombe , utoto na kulewa sifa za kijinga .....!!! Clouds wampumzishe kwa muda akipenda aende radio za wasio nidhamu .....naamini taasisi yeyote ni kubwa kuliko mtangazaji !! Nakemea kwa nguvu zote upuuzi alioufanya !! Aluokwishafanya kabla !! Amejisahau sana !!!
 
Msamaha anao yeye mwenyewe kwa kuacha kutumia Bangee. Watu kama hawa ndio wanasababisha serikali ipige marufuku utumiaji bangee...vipi kama Mbasha nae angekuwa anavuta unadhani nini kingetokea jana pale jukwaani....
 
Uaneni tu kwn tukio lenyewe lilikuwa la kishetwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…