kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa broDogo wacha utani......unazingua ujue!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa broDogo wacha utani......unazingua ujue!
Ulihudhuria bwashee?Uaneni tu kwn tukio lenyewe lilikuwa la kishetwani
Ha wapiUlihudhuria bwashee?
Lakini alimvizia!Mchomvu yuko sahihi vijana wa Lumumba kama wale dawa yao mitama tu
Jambo la kheri kama amefanya hivyo. Amuombe radhi pia E. Mbasha na Watanzania kwa ujumla.Mtangazaji wa Clouds media Adam Mchomvu amemshukuru Rais Magufuli na CCM kwa kumuamini na kumpa jukumu la kuongoza shughuli katika tamasha la wasanii.
Kadhalika Mchomvu amemuomba radhi Rais Magufuli na CCM kwa sintofahamu iliyotokea pale jukwaani kati yake na bwana ndugu msanii mwenzie Emmanuel Mbasha lililosababishwa na hasira.
Source Ayo tv.
Maendeleo hayana vyama!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakereka sana bangi inapotajwa tajwa hovyo, mnatukosea heshima wavutaji, mnasema bangi mbaya kwani mshawahi kuvuta kenge nyie???
Mchomvu alikuwa anatekeleza maagizo ya Nape Nauye, uzinduzi wa mitama na mabuti
Ugoko wa mendeEti alimpiga mtama.....mtama gani ule!?
Hivi vitoto vya siku hizi bana....sleki kabisa.
Mzee wa goli la mkono!Nakereka sana bangi inapotajwa tajwa hovyo, mnatukosea heshima wavutaji, mnasema bangi mbaya kwani mshawahi kuvuta kenge nyie???
Mchomvu alikuwa anatekeleza maagizo ya Nape Nauye, uzinduzi wa mitama na mabuti
Nami nakuunga mkono. Huyo Mbasha, badala ya kupanda jukwaani na kuimba nyimbo za kumtukuza Muumba wetu, yeye akabaki kumtukuza na kumuimba JPM ...... " MAGUFULI HOYEEE! HAKUNA KAMA MAGUFULI! UKAWA MTULIE TUU! "Mchomvu yuko sahihi vijana wa Lumumba kama wale dawa yao mitama tu
CCM ina wahuni wa kila aina“Dear #WashkajiZangu , kwanza nimuombe radhi Rais wetu wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Pili kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuniamini na kunipa nafasi ambayo bahati mbaya ilitokea tukapishana kauli jukwaani na Bwana ndugu Msanii mwenzangu, nimepokea simu mbalimbali za Viongozi wa Serikali wakinifahamisha namna nilipaswa kufanya wakati wa shambulio lile la mimi kuitwa 'ADAM Unajua we ni Bangi sana' Kwa pamoja nimewaelewa”
“Nikutake radhi pia Emmanuel Mbasha Mimi sina tatizo lolote binafsi na Wewe kilichotokea ni kukwazika na kauli yako uliyotoa dhidi yangu kwenye tukio kubwa la Kitaifa lililotazamwa na Mamilion ya Watanzania, sisi wote Vijana kuna muda tunakosea na tunawekana sawa japo njia zingine si nzuri, Asante kwa Jeshi la Polisi chini ya IGP Simon Sirro kwa maelekezo yenu. Nitayatii na kwa sasa mimi ni Balozi wenu wa hiari kabisa.
wewe ungekufa kabisaEti alimpiga mtama.....mtama gani ule!?
Hivi vitoto vya siku hizi bana....sleki kabisa.
Yes, kila akipiga hatua moja lazima apandishe suruali, miaka yote hiyo hakui, bado ana usela mavi mwingi sana.Yule kijana nasikia kuna kampuni zinamtumia kama brand ambassador, hivi wana akili?
Kuna kampuni inajielewa inamtumia yule mvuta bangi kama muwakilishi wao?
Yule amedhihirisha wazi kua bangi sio kitu kizuri, acha iendelee kupigwa marufuku tu.
Kijana muda wote anapandisha suruali kama mtu anaejinyea.
Kama hawa ndio brand ambassadors basi bado tuna safari ndefu.
Jambo la kheri kama amefanya hivyo. Amuombe radhi pia E. Mbasha na Watanzania kwa ujumla.