Adam Mchomvu aomba radhi, asema alikwazika

Kwa hiyo bangi lilivyokwisha kichwani ndio kajiona mkosaji
 
Mbasha havuti?

Mbasha anavuta sana tu na anachanganya na ulokole feki...

Sasa fikiria bange + ulokole feki, yaani ulokole tu ni bange na zaidi, sasa Mbasha kalewa hajui nini anafanya, na ule mtama akaona maruerue, alafu Adam hajui kabisa kupiga mtama wala ngumi. Haa
 
CCM walichukua hii
Shubamittttt
Kesho naenda kwa Sabaya mtapewa habari!
 
Amani na salama mtumishi. Ni Imani yangu kuwa hata Mzee Mgaya hakufurahishwa na kitendo kisicho Cha Kiungwana kilichofanywa na Adam Mchomvu. Naomba kwa niaba yangu, umuombe aongee na Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde JPM, amfikishie masikitiko yetu Wana Tunduma juu ya kitendo kilichofanywa na ndg Adam. Adam anaweza kuwa alifanya kitendo hicho kwa maksudi ili aharibu taswira ya chama na matukio yake hasa tunapoelekea kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Ukumbukwe kuwa Adam ni mwanachadema.
Mwambieni next time, chama kitumie ma MC wanaojielewa wa karba ya marehemu Efraim Kibonde. Wahuni Kama Mchomvu tuwaache wakakimbizane na polisi.
 
Msamaha anao yeye mwenyewe kwa kuacha kutumia Bangee. Watu kama hawa ndio wanasababisha serikali ipige marufuku utumiaji bangee...vipi kama Mbasha nae angekuwa anavuta unadhani nini kingetokea jana pale jukwaani....
Wangepigana tu ili wavuruge huo mtamasha wao uchwara.
 
Ila nikikumbuka mchizi alivyoanguka kizembe nacheka asee
 
Labda wakati anaondoka pale alizungumza maneno kereshi.

Sikubaliani pia na alichofanya Mchomvu
 
Mbasha akiwa na Flora, alikuwa na utulivu flani, ni mtu mzuri lakini ile kesi yake na kuachana kulimwathiri kisaikolojia.
Gwaji boy alichagiza hiyo ndoa kufa
Ila kwa akili za mbasha,nihaki kuachwa.....anamambo yakitoto na kijinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…