Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
wameanza kutaniana kuhusu cd za fiesta, basi ukaingia ugomvi wakaanza kutukanana huku wapo on air.
source: Mimi mwenyewe

Mwenye kujua zaidi atuhabarishe
[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=168675&d=1404383830[/JFMP3]

 

Attachments

leo karibu na mwisho wa kipind cha xxl watangazaj wa kipind hiko wamegombana live kwenye kipind mpaka ray alipokuja na kuwazimia mics!
kisa ni compilation album ya fiesta.
nn maoni yako kuhusu mwenendo wao na nan alikuwa source au influencer wa ugomvi
 
wadau niko nasikia clouds time hii lakini ghafla nasikia sauti za kukabana studio wadau mwenye taarifa atujuze coz nimesikia sauti ya Raymond mshana akiaga huku akigugumia kipigo!
 
Tarifa za kuzungumzia watu na majungu mie simo.
 
watangazaji wa double xxl adam,fetty na b12 ni ubishani wa kitoto toto ulioanza hatimaye wakazichapa wakiwa on air kabisa,mchomvu dizaini ni km ana utata utata siku zote lkn leo alim challenge fetty kuhusu deal ya kurelease compilation album ambayo anaifukuzia,wkt huo huo b12 akawachallenge kua wamechelewa sana coz yeye tayari amechaiandaa china.na soon inakuja,wakati huo huo adam hakupenda hicho kitu,akasema ataitoa yeye ndipo fetty na b12 wakamchana alishindwa kutoa fiesta album tangu mwaka jana hii ataiwezea wapi,ndipo adam akaleta ugomvi na kutaka kumchapa fetty, b12 katikati akijaribu kurescue situation,ni.aibu coz yote yalikua on air na b12 mara kwa mara alijaribu kuzima mic kabla ya ugomvi na wenzake wakazidi kumuona anabana lkn nadhan alikua right.
 
niliisikia hii mimi pia, sasa sijui walikuwa wanafanya utani au ni ukweli! ila mtangazaji Raymond Mshana aliyefunga kipindi kwa niaba yao alikuwa anaigiza kama anahema kwa shida kutokana na kuamulia ugomvi
 
ule hauwez kuwa ni utan. huon hata kufunga kipind kaja kufunga raymond tena huku akihema na muda wa kipind kuisha ukiwa bado
 
watwangana makonde laivu studio, dj fetty kakimbizwa hospital baada ya kuumizwa vibaya.

 
Sijui kama utapata jibu humu maana hakuna mwana JF anaesikiliza Clouds FM, anyway kama unafikiri natania subiri uone kama mada yako itapata wachangiaji zaidi ya watu kuulizana habari zao kama eg hivi Marekani na Ubelgiji walifungana ngapi ngapi
 
ilikuwa utani tu nasikia....si kweli.
 
aliyekuwa anazimazima mic ni adam ambaye kwa upande wangu namuona kama ndiye aliyepelekea mpaka wao kugombana coz kama alikuwa anaminya freedom of speech!
 
wamechapana makonde kisa fetty, kaingiza mjadala kuhusu album yake kuhusu fiesta, na stika za trA
 
wadau niko nasikia clouds time hii lakini ghafla nasikia sauti za kukabana studio wadau mwenye taarifa atujuze coz nimesikia sauti ya Raymond mshana akiaga huku akigugumia kipigo!

mkuu vijana wa xxl(B12,Dj Fetty na Adam mchomvu) wamekwidana chanzo cha mgogoro wao ni kila moja anataka kutoa albamu ya fiesta sasa fetty anasema idea ilikua yake, B12 kashaprint mzgo na mchomvu nae yupo kwenye mchakato wa huo.
 
Radio ya wachumia tumbo hata sijui hapa mwanza inapatikanaga masafa gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…