Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Was.enge hao acha wapigane tu au ikiwezekana wauwane kabisa senzy zao wanakharamu kabisa hao.
 
kwi kwi...usikute adam mchomvu huyo manake ana utani fulani hivi wa kuchekesha....sana
 
Ishu ilianza wakati wanatambulisha nyimbo mpya ya madii "SHIDA" Fety akasema mwaka hu atatoa album ya fiesta B12 akadakia kua hyo ni aidia yake na keshaanza kuiandaa album china
Fety akapanic akamwambia hizo zote ni tamaa mbona ye ana duka la born to shine haridhiki,Adam nae akadakia na ye atatoa album ndo ugomvi ulipoanza kila Adam akitaka kuonge B12 anazima mic huku kwingine Fety akamkwida Adam wacha achezee vitasa mpka akawa anaomba msaada kwa Soud Brown muda wote huo wako ON AIR
 
wametwangana bana kwani hata waliofungua kipindi cha jahazi wameanza kwa kusema "sisi hapa hatugombani" mmoja wao akawa kama anapotezeapotezea!
 
Watu wengine bwana unaleta news alert,ka habari kenyewe hakajieliezi kinacho eleweka lengo lako nini hasa? Nadhani tafuta muda pitia regulation za jf alafu ndo uje na habari usikurupukurupuke hapa sio fb sawa kijana!

ww kwan umelazimishwa kuchangia kwenye hii thread au na ucjfanye we ndo unaelewa hzo regulation saana
 
Sidhani kama ni kweli ilikuwa utani tu wala si kweli kwamba walikuwa wanapigana.
 
Ni ivo ivo tu....Fetty anataka kutoa albam ya fiesta na adam halafu b12 akamkaba mchomvu na fetty akakimbizwa hospital.....!! yani hata cjaelewa vizuri
 
Ndo walichotaka make walijua mtakuja kuwajadili humu.

kesho kwenye magazeti ya udaku wataandikwa, wao wanatengeneza hula kwa wajinga kununua hizo cd ili waone cha ajabu ni nini.
 
Maigizo tu yale xxl inatafuta kick na kesho waskilizaji wataongezeka......ubunifu tu wameandaa script na kila mhusika kacheza nafasi yake vzuri
 
Ishu ilianza wakati wanatambulisha nyimbo mpya ya madii "SHIDA" Fety akasema mwaka hu atatoa album ya fiesta B12 akadakia kua hyo ni aidia yake na keshaanza kuiandaa album china
Fety akapanic akamwambia hizo zote ni tamaa mbona ye ana duka la born to shine haridhiki,Adam nae akadakia na ye atatoa album ndo ugomvi ulipoanza kila Adam akitaka kuonge B12 anazima mic huku kwingine Fety akamkwida Adam wacha achezee vitasa mpka akawa anaomba msaada kwa Soud Brown muda wote huo wako ON AIR
Hahaaaa.......wamenikumbusha ya song world cup....wapi professionalism hapa?....let em get fired for utoto wao!
 
wametwangana bana kwani hata waliofungua kipindi cha jahazi wameanza kwa kusema "sisi hapa hatugombani" mmoja wao akawa kama anapotezeapotezea!
Yeah, wanasema hakuna lolote, hapa studio amani imetawala! Sasa kama kweli kuna amani, kuna haja ya kutangaza?
 
LILE TUKIO SIO LA KWELI.
INGAWA LILITOKEA KWELI KWA MAANA YA "LIVE"

NI ILIKUA SEHEM YA KUTENGENEZA KICK ILI WAUZE ALBAM YAO YA PAMOJA.

LKN PIA, WANAJIANDAA KWENDA LIKIZO SO KILICHOTOKEA PALE ZILE DK 5 LILIKUA NI TUKIO LA KUTENGENEZWA ILI KUTENGENEZA PESA..

MATUKIO YA NAMNA ILE YAMESHAWAI KUTOKEA KTK VITUO KADHAA VYA HABARI NA BURUDANAI KM HOT 97 FM, KISS FM, 365 the power. Nk.

So ieleweke halikua Tukio la kweli.
 
Sidhani kama ni kweli ilikuwa utani tu wala si kweli kwamba walikuwa wanapigana.
Inaezekana ni kweli wanatafuta kick?....hahaaa wat ever it is....ts nt logical!
 
Back
Top Bottom