Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama sikosei mmoja wa watangazaji alisema yeye ndiye ana haki ya kuuza cd za fiesta.
Watu wengine bwana unaleta news alert,ka habari kenyewe hakajieliezi kinacho eleweka lengo lako nini hasa? Nadhani tafuta muda pitia regulation za jf alafu ndo uje na habari usikurupukurupuke hapa sio fb sawa kijana!
kwi kwi...usikute adam mchomvu huyo manake ana utani fulani hivi wa kuchekesha....sana
Hahaaaa.......wamenikumbusha ya song world cup....wapi professionalism hapa?....let em get fired for utoto wao!Ishu ilianza wakati wanatambulisha nyimbo mpya ya madii "SHIDA" Fety akasema mwaka hu atatoa album ya fiesta B12 akadakia kua hyo ni aidia yake na keshaanza kuiandaa album china
Fety akapanic akamwambia hizo zote ni tamaa mbona ye ana duka la born to shine haridhiki,Adam nae akadakia na ye atatoa album ndo ugomvi ulipoanza kila Adam akitaka kuonge B12 anazima mic huku kwingine Fety akamkwida Adam wacha achezee vitasa mpka akawa anaomba msaada kwa Soud Brown muda wote huo wako ON AIR
Yeah, wanasema hakuna lolote, hapa studio amani imetawala! Sasa kama kweli kuna amani, kuna haja ya kutangaza?wametwangana bana kwani hata waliofungua kipindi cha jahazi wameanza kwa kusema "sisi hapa hatugombani" mmoja wao akawa kama anapotezeapotezea!
Inaezekana ni kweli wanatafuta kick?....hahaaa wat ever it is....ts nt logical!Sidhani kama ni kweli ilikuwa utani tu wala si kweli kwamba walikuwa wanapigana.