Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

bila adam hali isingekuwa mbaya pale studio! mlamba viatu sana yule mtoto!
 
ww kwan umelazimishwa kuchangia kwenye hii thread au na ucjfanye we ndo unaelewa hzo regulation saana

Hii nayo ni thread, tatizo si kuchangia tu hata kusoma ni muda unatumika ukitegemea kina jieleza kumbe hata havieleweki wala havija kamilika,narudia tena hapa sio fb wala IGM
 
Ni ivo ivo tu....Fetty anataka kutoa albam ya fiesta na adam halafu b12 akamkaba mchomvu na fetty akakimbizwa hospital.....!! yani hata cjaelewa vizuri

nilianzisha uzi wenye details kamili kuhusu tukio hili naona moods wameiondoa hata sijui kwanini! ila tukio ni la kweli..wametwangana wakiwa live studio! hakuna utani, wamepigana live chanzo kikiwa maslahi binafsi kuhusu kutoa na kusambaza cd za fiesta 2014. Kila mmoja anaona kaibiwa wazo lake
 
yani mnaamini? That was a stunt haina ukweli. .hahahaha maigizo yale.
Ndio maana hata wamechagua mwisho wa kipindi ili wawaachie gumzo!

Wamewateka hahaha!
 
Walitaka kuikanusha habari hii, wakashtuka. Badala yake wakaua noma kwa kukanusha habari ya Al shabab kuijadili Tanzania
 
LILE TUKIO SIO LA KWELI.
INGAWA LILITOKEA KWELI KWA MAANA YA "LIVE"

NI ILIKUA SEHEM YA KUTENGENEZA KICK ILI WAUZE ALBAM YAO YA PAMOJA.

LKN PIA, WANAJIANDAA KWENDA LIKIZO SO KILICHOTOKEA PALE ZILE DK 5 LILIKUA NI TUKIO LA KUTENGENEZWA ILI KUTENGENEZA PESA..

MATUKIO YA NAMNA ILE YAMESHAWAI KUTOKEA KTK VITUO KADHAA VYA HABARI NA BURUDANAI KM HOT 97 FM, KISS FM, 365 the power. Nk.


So ieleweke halikua Tukio la kweli.

Umetumwa wewe!
 
yani mnaamini? That was a stunt haina ukweli. .hahahaha maigizo yale.
Ndio maana hata wamechagua mwisho wa kipindi ili wawaachie gumzo!

Aft eti wakajidai wamesahau kuzima mic.

Wamewateka hahaha!
 
Walitaka kuikanusha habari hii, wakashtuka. Badala yake wakaua noma kwa kukanusha habari ya Al shabab kuijadili Tanzania
 
we can agree to disagree,hizo zinaweza kuwepo lkn,kwa kilichotokea u cant prove me wrong,brand ya clouds ilipofikia haihitaji kick za namna hiyo tena
 
Kweli hata mi yananibohaaaa sana watu tunataka habari hatutaki majigambooo
 
Conflict of interest...


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom