Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Wamepigana na hii ishu ya cd ilianza toka jana wakiwa wanamhoji ney wa mitego duh unprofessional hawa mbuzi kweli taaluma imeingiliwaaa
 
yani mnaamini? That was a stunt haina ukweli. .hahahaha maigizo yale.
Ndio maana hata wamechagua mwisho wa kipindi ili wawaachie gumzo!

Wamewateka hahaha!
 
Akina nani hao waliogombana? Clouds ni radio ya wapi hiyo? Tupeni habari za uhakika msifikiri wote tupo huko mliko. Na hao watangazaji ni wa kike au kiume? Mazoezi wanafanyia Gym gani? Walikuwa na gloves?
 
LILE TUKIO SIO LA KWELI.
INGAWA LILITOKEA KWELI KWA MAANA YA "LIVE"


NI ILIKUA SEHEM YA KUTENGENEZA KICK ILI WAUZE ALBAM YAO YA PAMOJA.
LKN PIA, WANAJIANDAA KWENDA LIKIZO SO KILICHOTOKEA PALE ZILE DK 5 LILIKUA NI TUKIO LA KUTENGENEZWA ILI KUTENGENEZA PESA..

MATUKIO YA NAMNA ILE YAMESHAWAI KUTOKEA KTK VITUO KADHAA VYA HABARI NA BURUDANAI KM HOT 97 FM, KISS FM, 365 the power. Nk.


So ieleweke halikua Tukio la kweli.
 
Mtanunuaje kazi zao kama wasipotengeneza visa kama hivyo...!!!
 
Vipindi vya mchana sisikilizagi, huwa na ZIMAAA.
 
wameanza kutaniana kuhusu cd za fiesta, basi ukaingia ugomvi wakaanza kutukanana huku wapo on air.
source: Mimi mwenyewe

Mwenye kujua zaidi atuhabarishe

Nyie wote mnaoanzisha hizi mada mpo clouds na ndo mlikua mnabamiza meza.
acheni utoto wenu nyie.
 
Dear madam mchomvu na bibi twelve,poleni sana na uchovu wa ubishoo,nia na madhumuni ya kuwapaka choo,

mwambieni shosti wenu ncha kali hajui kuflow.

hofu na mashaka ni juu ya unafiki wenu,na wasiwasi wa maisha mtadhani mademu.
mnataka kuolewa?
 
Aiseee unprofessional kweli taaluma imeingiliwa nashangaa hao wanaobisha ishu niya kweli nomaaaa
 
Back
Top Bottom