Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Ishu ilianza wakati wanatambulisha nyimbo mpya ya madii "SHIDA" Fety akasema mwaka hu atatoa album ya fiesta B12 akadakia kua hyo ni aidia yake na keshaanza kuiandaa album china
Fety akapanic akamwambia hizo zote ni tamaa mbona ye ana duka la born to shine haridhiki,Adam nae akadakia na ye atatoa album ndo ugomvi ulipoanza kila Adam akitaka kuonge B12 anazima mic huku kwingine Fety akamkwida Adam wacha achezee vitasa mpka akawa anaomba msaada kwa Soud Brown muda wote huo wako ON AIR
Mdau haya mambo yametokea redion au kwenye t.v?maana unayaelezea kama ulikuweoi
 
Jamani inabidi muelewe tu kwamba kale ni ka kijiwe ka wahuni,kuna wengine wa clouds niko nao huku kanda ya ziwa kwny project flani hivi lakin nao akili zao kama vile zimeshikizwa na kauzi
kadogo yani hovyo kabisa
 
Clouds Fm radio ya wafu.

Imejaa wahuni watupu hata maongezi yao hasa kile kipindi cha break fast ni porojo tupu kupoteza watu akili hawaongei mambo yanoyowagusa watu moja kwa moja ni mbwembwe tuu na ulimbukeni
 
Tuwekeee picha mkuu,,najua umebobea kwenye mambo ya reporting lazima uliwadaka picha kadhaaaaa

images.jpg
 
Hivi sasa mitambo imezimwa na ngumi zimeanza upya! Anayebisha a.tune 88.5 FM Dar

Ukikaa kwenye kundi la wahuni utaonekana muhuni tu haya ndio matunda yao wache wapimane uzito
 
Hivi kumbe ulikuwa ugomvi me niliwasikia nikajua matani yao yaliyopitiliza....


Kama ni kweli haishangazi coz hao wote ni wajanjawajanja tu wa mjini hawana hata hiyo taaluma ya uandishi zaidi ya mashauzi na kuchonga ngenga
 
Nasikia huwa wanakula ganja palepale studio...Mimi huwa sina mzuka nao!!!
 
Wengine hatusikilizi radio siku hizi
 
watwangana makonde laivu studio, dj fetty kakimbizwa hospital baada ya kuumizwa vibaya.

Yaani me nimesikiliza via millard ayo.com haihitaji akili ya ziada kujua kuwa ni maigizo. Guys tuwe serious ugomvi hauwagi dizaini zile watu wanaigiza sauti za kuumia kabisa. Any wamefanya ile kitu tunaita tafuta kick. Kuna kitu wanataka kukifanya in future so wameanza kuseek attention za watu
 
Akina nani hao waliogombana? Clouds ni radio ya wapi hiyo? Tupeni habari za uhakika msifikiri wote tupo huko mliko. Na hao watangazaji ni wa kike au kiume? Mazoezi wanafanyia Gym gani? Walikuwa na gloves?
Hahahaha
Nimecheka sana daaa jf raha tupu
.
 
Unprofessional ndio tatizo maana hao ni talented


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
kwa sisi tuliosomea mipango ya kuteka soko hatujastuka ila kwa mazuzu na ma bogus
zamani kama mlikua mnasikiliza kipindi cha powerbreakfast ilikua kawaida kugombana ili kuteka akili za watu
na naona wamefanikiwa kwa kweli
mnatakiwa kujua albam inakuja so muwe attention kwa lazima kua kuna kitu kaja kama wangesema watatoa albam tu hata msingefuatilia ila kwa kua wamepigana mnanza kuuliza kwa nini mpaka mnafikia lengo la habari ya albam
 
Back
Top Bottom