Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

mngejua hiyo ni kiki ya album!! tayari mshawazungumzia so tusubiri jins wadau watavyonunua..
 
mngejua hiyo ni kiki ya album!! tayari mshawazungumzia so tusubiri jins wadau watavyonunua..

Kuna kipindi pia waliigiza eti kufukuzwa kazi kumbe ilikua ni kudraw attention baada ya kugundua watu wengi wamewasusa, leo tena wamekuja na ndondi? Hahahaaa
 
LILE TUKIO SIO LA KWELI.
INGAWA LILITOKEA KWELI KWA MAANA YA "LIVE"

NI ILIKUA SEHEM YA KUTENGENEZA KICK ILI WAUZE ALBAM YAO YA PAMOJA.

LKN PIA, WANAJIANDAA KWENDA LIKIZO SO KILICHOTOKEA PALE ZILE DK 5 LILIKUA NI TUKIO LA KUTENGENEZWA ILI KUTENGENEZA PESA..

MATUKIO YA NAMNA ILE YAMESHAWAI KUTOKEA KTK VITUO KADHAA VYA HABARI NA BURUDANAI KM HOT 97 FM, KISS FM, 365 the power. Nk.


So ieleweke halikua Tukio la kweli.

katika watu woote we ndo umeongea la maana big up mkuu..
 
Izo ni matangazo kukuweka tayari na fiesta maana imezeeka wanatafuta promo na public attention.

Kwan huwa hamuona story za kutengeneza za wasanii wa bongo movie, wana act kupigana, wanawalipa makanjanja wanakuja wanaandika udaku, fulan na fulan wapigana location wakicheza movie desh desh, tayar inakuwa promo

Wale tuliowai ona hiz issue zikipikwa kwa hili si ajabu ni sababu za kibiashara tu hasa kwa kibabu fiesta
 
Ni audio yao atakeitacha anicheki pm...nashindwa kuweka hapa....
 
Nimesikia audio kwenye website ya millard ayo, maigizo kabisa adsm anavyolia
 
mkuu vijana wa xxl(B12,Dj Fetty na Adam mchomvu) wamekwidana chanzo cha mgogoro wao ni kila moja anataka kutoa albamu ya fiesta sasa fetty anasema idea ilikua yake, B12 kashaprint mzgo na mchomvu nae yupo kwenye mchakato wa huo.

mkuu sidhan kama wataendelea kuwepo clouds hawa watu nadhan walio kuwa wanafuatilia kipind ndo wanaweza kujua hatma ya hawa vijana kurudi clouds sio rahisi tena kama wadau wengine wanavyofikiri!
 
Hao jamaa washenzi tu waishawaona watanzania mabwege hapo hakuna cha kupigana wala nini sema wanataka muwaongelee tu kama sasa mnavyofanya hapa, kuna kipindi walitengeneza habari ya kuwa wamefukuzwa clouds napo mkawaonglea weee mwishowe mliona ilivyokuwa!!
 
Ikibainika wamezichapa studio bwana Ruge fukuza wote clouds fm ni kioo cha jamii. Sio uwanja wa masumbwi.
 
Ikibainika wamezichapa studio bwana Ruge fukuza wote clouds fm ni kioo cha jamii. Sio uwanja wa masumbwi.

mmmh clouds fm kioo cha jamii???
i hope sio jamii nnayoishi mimi
 
Ase! Uzi huu umenipa majibu mengi kuhsu akili zawatz kwamba wengi wao hawfikr kwa kina wengi wao ni mamburura bila kujali elimu zao.Inahitaji elim gani kugundua kuwa yale ni maigizo!? Hawa ndo ambao ukawa wanadai wameandika katiba mpya eti tuicopy na kupast kama ilivyo...mamaaa!
 
hata mimi nimeskiliza iyo clip nimeona ni maigizo lakini nashangaa watu wameiamini hii ishu yahoo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom