Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Mliokuwa mnajifanya mnajua sana kusikiliza na kuwaponda wenzenu na kudai kuwa ni maigizo nadhani mmesikiliza amplifaya ya clouds saa moja.
 
Mliokuwa mnajifanya mnajua sana kusikiliza na kuwaponda wenzenu na kudai kuwa ni maigizo nadhani mmesikiliza amplifaya ya clouds saa moja.

wengine hatuna umeme siku ya 3 sasa, labda utueleze wamesemaje
 
hivi hiyo radio ya wafu bado mnaisikiliza tu?? hao ni vichaa achaneni nao. wanawapotezea muda tu.
 
ziweke kwenye kipindi tutazisikiliza huko, hapa si mahala pake sawa?

kama huzitaki wewe kuna wezako wanazihitaji...kihelehele cha nini kukataza wenzako wasipate???

Kwenye kiaudio tu hiki una unaubinafsi je tukakupa uwe moderator hapa jf utasumbua????

kwa taarifa yako nishawatumia 6 wanajf na bado wengine wananiomba niwatumie na ntawatumia

kozi sipati hasara yoyote!!
 
kama huzitaki wewe kuna wezako wanazihitaji...kihelehele cha nini kukataza wenzako wasipate???

Kwenye kiaudio tu hiki una unaubinafsi je tukakupa uwe moderator hapa jf utasumbua????

kwa taarifa yako nishawatumia 6 wanajf na bado wengine wananiomba niwatumie na ntawatumia

kozi sipati hasara yoyote!!

Mkuu mwache huyo akae na bichwa kama skype hapo, nimeku-pm namba yangu unirushie kwa whatsapp comrade.
 
wameanza kutaniana kuhusu cd za fiesta, basi ukaingia ugomvi wakaanza kutukanana huku wapo on air.
source: Mimi mwenyewe

Mwenye kujua zaidi atuhabarishe
===============================

Hivi jana kati ya marekani na ubelgiji nani alishinda?
 
Ndugu wanajamiiforums,

Kitendo walichokifanya vijana wa xxl jana ni muendelezo wa lile tukio lililotokea kipindi cha nyuma kidogo kusema kwamba "adamu mchomvu, fetty na b12 wamefukuzwa clouds fm" mnakumbuka?, huu ni moja ya uhuni unaofanywa na hawa vijana pamoja na menejiment yao.

Ujue kwa mwaka huu namba ya wasikilizaji wa XXL imepungua kwa kiasi kikubwa hivyo wanataka kuipandisha na kwaakili zao wanadhani hiyo njia itasaidia.

Vijana hawa waliamua kuigiza jana ili wazungumziwe kwenye mitandao ikiwa ni sambamba na kuandikwa kwenye magazeti, wanataka kujiongezea umaarufu kinguvu.

Last time walisambaza taarifa kuwa vijana hao wamefukuzwa, leo wanasema wamegombana. Kama hicho kitendo menejiment haija kipenda, kwanini wanaisambaza hiyo clip ya ugomvi wao maana ukiisikiliza ile clip ina quality ya ofisini kwao na si kwamba mtu amerekodi kwa simu.na kusambaza.

Acheni upuuzi clouds fm

REJEA: https://www.jamiiforums.com/celebri...mvu-and-b-dozen-hawajatimuliwa-clouds-fm.html
 
Umekazana kutetea ndg vp?msg moja umetuma mara 20,we ni mmoja wao au umetumwa kusafisha?
LILE TUKIO SIO LA KWELI.
INGAWA LILITOKEA KWELI KWA MAANA YA "LIVE"


NI ILIKUA SEHEM YA KUTENGENEZA KICK ILI WAUZE ALBAM YAO YA PAMOJA.
LKN PIA, WANAJIANDAA KWENDA LIKIZO SO KILICHOTOKEA PALE ZILE DK 5 LILIKUA NI TUKIO LA KUTENGENEZWA ILI KUTENGENEZA PESA..

MATUKIO YA NAMNA ILE YAMESHAWAI KUTOKEA KTK VITUO KADHAA VYA HABARI NA BURUDANAI KM HOT 97 FM, KISS FM, 365 the power. Nk.


So ieleweke halikua Tukio la kweli.
 
Kwenye radio za marekani kiti kama hicho hutokea sana kupata kiki!
But hawa jamaa Fatuma,Hamis Mandi na Adam Mchomvu wamebugi ile mbaya!!
 
Ungesema wameigiza nini, sio wote tunasikilizaga hiyo kitu!!
 
Back
Top Bottom