Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Bahati nzuri hawa jamaa kipindi chao ni cha redio,kingekuwa cha TV siku moja wangeigiza kwenye kipindi picha ya X maana wamejaa utoto sana
 
Mimi nna uhakika kuwa wale watangazaji wasio na maadili ya kazi ni kweli waligombana studio. Nadhani namna bora ingekuwa ni kuomba radhi wasikiliziaji tungewaona wana busara. Kitendo cha kusema lilikuwa zengwe ni kuficha ukweli na kuthibitisha kuwa tumeanza kukolea sumu inayosambazwa na watatawala wetu ya kufichiana maovu. Kwa uelewa wangu mimi kwa tukio kama lile ingefaa wahusika wachukuliwe hatua na uongozi wa chombo hicho na pia shirikisho la wanahabari. Kuwatetea ni Si vema kuwa na chombo cha habari chenye kuashiria upotovu wa maadili. Haya ni tuliyoyasikia. Je kama kuna mengine huwa hatuyasikii?
 
wacha niwe mtumwa maana ikifika saa 12 ni DW, saa 12:30 ni BBC saa 1:30 ni VOA, baada ya hapo basi, hamuwezi kutufanya sisi watoto eti usinyamaze halafu watu wanaowatumia wengi wa upande 1.
 
Nimecheka eti kufunika kombe mwanaharamu apite jana millad ayo anasema ni kitu kilipangwa haikuwa uhomvi wa kweli
 
wacha niwe mtumwa maana ikifika saa 12 ni DW, saa 12:30 ni BBC saa 1:30 ni VOA, baada ya hapo basi, hamuwezi kutufanya sisi watoto eti usinyamaze halafu watu wanaowatumia wengi wa upande 1.

Mkuu mimi nimeshakua mtumwa kabisa yaani 24/7 na-tune BBC World service, hizo redio zingine za maigizo na kutetea watawala huwa sina hamu nazo kabisa.
 
Hakuna kuigiza; ni tamaa kweli zipo. Kama wao nanafanyiana uhuni; nalazimika kuamini wasanii huwa wanafanyiwa uhuni.
 
Kuna ufake mwingi sana clouds kiasi naamini clip iko staged. Hata hiyo barua ilobandikwa imekaa kiajabu. Floor ya 8 jengo gani? Authority gani inawaita? DLS ni nani?
 
ipo siku tutajikuta katikati urithi wetu hatutaujua kwa ufasaha wakati wenzetu Kenya watasimama imara,ukija kwenye kile kilichokuja na meli ndio kabisaa chenga.
 
Mimi nna uhakika kuwa wale watangazaji wasio na maadili ya kazi ni kweli waligombana studio. Nadhani namna bora ingekuwa ni kuomba radhi wasikiliziaji tungewaona wana busara. Kitendo cha kusema lilikuwa zengwe ni kuficha ukweli na kuthibitisha kuwa tumeanza kukolea sumu inayosambazwa na watatawala wetu ya kufichiana maovu. Kwa uelewa wangu mimi kwa tukio kama lile ingefaa wahusika wachukuliwe hatua na uongozi wa chombo hicho na pia shirikisho la wanahabari. Kuwatetea ni Si vema kuwa na chombo cha habari chenye kuashiria upotovu wa maadili. Haya ni tuliyoyasikia. Je kama kuna mengine huwa hatuyasikii?
Kwani mpaka sasa hawajatimuliwa?
 
kumbe SHOGA anweza kupigana? daaah dunia haiishi maajabu!
 
Back
Top Bottom