Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha niwe mtumwa maana ikifika saa 12 ni DW, saa 12:30 ni BBC saa 1:30 ni VOA, baada ya hapo basi, hamuwezi kutufanya sisi watoto eti usinyamaze halafu watu wanaowatumia wengi wa upande 1.
wametengeneza tu xtory
Kwani mpaka sasa hawajatimuliwa?Mimi nna uhakika kuwa wale watangazaji wasio na maadili ya kazi ni kweli waligombana studio. Nadhani namna bora ingekuwa ni kuomba radhi wasikiliziaji tungewaona wana busara. Kitendo cha kusema lilikuwa zengwe ni kuficha ukweli na kuthibitisha kuwa tumeanza kukolea sumu inayosambazwa na watatawala wetu ya kufichiana maovu. Kwa uelewa wangu mimi kwa tukio kama lile ingefaa wahusika wachukuliwe hatua na uongozi wa chombo hicho na pia shirikisho la wanahabari. Kuwatetea ni Si vema kuwa na chombo cha habari chenye kuashiria upotovu wa maadili. Haya ni tuliyoyasikia. Je kama kuna mengine huwa hatuyasikii?
Aiseeh ebu achana na mimi usonishobokee kipeleke uko bhana usininukie shombo apa