Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mngejua hiyo ni kiki ya album!! tayari mshawazungumzia so tusubiri jins wadau watavyonunua..
LILE TUKIO SIO LA KWELI.
INGAWA LILITOKEA KWELI KWA MAANA YA "LIVE"
NI ILIKUA SEHEM YA KUTENGENEZA KICK ILI WAUZE ALBAM YAO YA PAMOJA.
LKN PIA, WANAJIANDAA KWENDA LIKIZO SO KILICHOTOKEA PALE ZILE DK 5 LILIKUA NI TUKIO LA KUTENGENEZWA ILI KUTENGENEZA PESA..
MATUKIO YA NAMNA ILE YAMESHAWAI KUTOKEA KTK VITUO KADHAA VYA HABARI NA BURUDANAI KM HOT 97 FM, KISS FM, 365 the power. Nk.
So ieleweke halikua Tukio la kweli.
Umbea
Sent from my Philips.
mkuu vijana wa xxl(B12,Dj Fetty na Adam mchomvu) wamekwidana chanzo cha mgogoro wao ni kila moja anataka kutoa albamu ya fiesta sasa fetty anasema idea ilikua yake, B12 kashaprint mzgo na mchomvu nae yupo kwenye mchakato wa huo.
Ikibainika wamezichapa studio bwana Ruge fukuza wote clouds fm ni kioo cha jamii. Sio uwanja wa masumbwi.