tahan96
Member
- Apr 29, 2014
- 86
- 104
watwangana makonde laivu studio, dj fetty kakimbizwa hospital baada ya kuumizwa vibaya
wamegombana kisa nin tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watwangana makonde laivu studio, dj fetty kakimbizwa hospital baada ya kuumizwa vibaya
Katwangana na nani? Na kwa nini hebu toa habari iliyokamilika
niliisikia hii mimi pia, sasa sijui walikuwa wanafanya utani au ni ukweli! ila mtangazaji Raymond Mshana aliyefunga kipindi kwa niaba yao alikuwa anaigiza kama anahema kwa shida kutokana na kuamulia ugomvi
watwangana makonde laivu studio, dj fetty kakimbizwa hospital baada ya kuumizwa vibaya
Radio ya wachumia tumbo hata sijui hapa mwanza inapatikanaga masafa gani
Watu wengine bwana unaleta news alert,ka habari kenyewe hakajieliezi kinacho eleweka lengo lako nini hasa? Nadhani tafuta muda pitia regulation za jf alafu ndo uje na habari usikurupukurupuke hapa sio fb sawa kijana!
hzo cd za fiesta imekuaje mpaka zilete ugomvi
Umetulia sasa unaweza kuletea baadhi ya maneno waliyorushiana.!!!!leo karibu na mwisho wa kipind cha xxl watangazaj wa kipind hiko wamegombana live kwenye kipind mpaka ray alipokuja na kuwazimia mics!
kisa ni compilation album ya fiesta.
nn maoni yako kuhusu mwenendo wao na nan alikuwa source au influencer wa ugomvi?