MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
๐คฃ๐คฃ...na mastaa hao...
Ney havuti bangi ?Kwamba ney amekua hatarin nyie wachuga mbona mnampaisha sana huyu mvuta bangi
Mchomvu akisoma hii reply yako siku mkikutana maisha yako yanaweza kuwa hatarini.Upuuzi mtupu kuna siku huyo bishoo koko atavunjiwa yai na kuvishwa shanga
sasa unataka mwanaume apigwe na nani?Yaani sielewei kabisa mwanume unapigwa na dume mwezako yaani hivhiv kizembe
Ngoja siku huyo, mchomvu aingie kwenye anga zangu aisee nita bintua hatoamin
Ni aibu mwanaume kukubali kichapo cha mwanaume mwezako pasipo ww kuonesha reactionsasa unataka mwanaume apigwe na nani?
mwanamke?????