Adam Mchomvu kidogo amtembezee kichapo Ney wa Mitego bar

Adam Mchomvu kidogo amtembezee kichapo Ney wa Mitego bar

Nilipogundua Jina la mleta uzi ni MSAGA SUMU sikuwa na hamu ya kuendelea kusoma thread yake,

Hii ni tangu atuletee hapa habari ya Wema Sepetu kufungua Mall Kubwa hapa City Centre,

mwenzie nilishaandaa CV kwaajili ya kwenda kuomba kazi kwa BossLady lakini hadi leo hii hakuna cha Mall wala ndugu yake Mall iliyofunguliwa na huyo Wema wake 🙌😅
 
Back
Top Bottom